Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando... Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana...
3 Reactions
32 Replies
15K Views
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Swali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
2 Reactions
11 Replies
699 Views
Unakuta simu Ina sifa nzuri ukiangalia nyuma makamera utitiri, yani kipangiliyo kamera nyingi Iko hovyo sana sababu ya kamera nyingi ni nini kama Kuna umuhimu haziwezi kukaa ndani ya camera Moja...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology, Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k...
1 Reactions
4 Replies
632 Views
Je simu yako imeingia maji? Inawezekana ukawa unatembea ghafla simu yako ikaingia maji uko mbali na fundi au vifaa viko mbali utafanyaje? Okay unajua Teknolojia inazidi kukua kwa Kasi kila siku...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante...
1 Reactions
8 Replies
565 Views
Kuna app zaidi ya 50 zimefungiwa nchini Tanzania na benki kuu ya Tanzania ambazo zinatoaga huduma ya mikopo kwa Watanzania kwa mfumo wa kidigitali. BOT imebaini kuwepo kwa app zinazojihusisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc. Kazi hii...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
๐—–๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ Zifahamu secret code muhimu ambazo zitakusaidia kuweza kutatua baadhi ya matatizo kwenye simu yako au ya rafiki yako ulizokuwa uzijui kabisa kama...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Kulingana na ripoti ya CDC, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu wote waliopo duniani hawapati Usingizi wa kutosha. Kutengeneza mazoea ya kulala kwa wakati kunaweza sababisha kuboresha...
4 Reactions
5 Replies
663 Views
Wakuu msaada tafadhali, Hivi hapa Spotify haina uwezo wa kudownload ngoma ukiwa offline u play kama audio mak? Hii imekaaje wakuu?
0 Reactions
6 Replies
671 Views
Habari wana JF, Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje. Ahsante
1 Reactions
6 Replies
596 Views
๐—ญ๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ผ Kumekua na matukio ya kushangaza kila siku ulimwenguni kuhusu watu kupostiwa video zao za ngono mtandaoni utakuta mume, mke au mpenzi mlikua kwenye...
2 Reactions
22 Replies
963 Views
Habari wadau. Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X Asante
2 Reactions
14 Replies
889 Views
Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu...
2 Reactions
3 Replies
985 Views
Mtu unanunua flagship ya pesa nyingi yenye technology ya kioo kikalii badala ya kuendelea kuenjoy AMOLED au OLED mixer 2200 nits ulivyokua zwazwa unaenda kuweka giza juu yake sijui mnaficha nini...
0 Reactions
6 Replies
567 Views
Wajuzi wa mambo naomba msaada wenu Simu zipi ni nzuri kati ya Xiaomi, OPPO na VIVO. Tusiangalie bei tuangalie vigezo vya ubora.
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ