Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni mwenye uelewa na hili anijuze, ni namna gani naweza weka link ya folder kwenye html, ili mtu akibofya hiyo link then ifunguke na kudownload files za pdf zilizopo ndani ya hiyo folder...
0 Reactions
3 Replies
605 Views
wadau salaam, nina simu hapa ni Huawei Y300 imepatwa na hilo tukio la kujiwasha data hata pale ninapoi disable. Naombeni suluhisho kwani chaji imekua ni tatizo sasa. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wataalam ntawezaje kudownload episode full ktk cm.maana nazidownload lkn haziplay. msaada wenu wataalam
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana Jamvi kwa wale wapendao sinema nimeona bora ni-share hii App na nyinyi ili mpate kuburudika "Popcorn-time" ni app ambayo unaweza kuona movie zote za Hollwood na za Kihndi na nyenginezo bure...
1 Reactions
16 Replies
18K Views
naomba mnielekeze step by step namna ya kuitumia bitTorrent au movie torrent...zote nimeshazidownload pamoja na java ila ndo hivyo nashindwa uzitumia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yap...kama kichwa kinavyo jieleza kuna mobile games meng sana lakn toka nicheze movie mobile games bado sijaona game zuri kama vampire romance liko tofauti sana na mengne uliocheza ww jaribu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakuu naomba mnipe link ya kudownload movies kali latiest
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Me kabla cjaanza kutumia tecno p3,nilikuwa nnatumia samsung c5212 nilikuwa nnadownload movie nyingi tu,lakini hii tecno kila nikitaka kudownload naambiwa niweke download manager nikijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
khabari zenu waugwana! Nisaidieni natuma utorrent
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wandugu mimi ninashida na kudownload hii movie ya kikorea IRIS ss cjui nitumie program ipi maana kwenye torrent cjaziona! Please!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa kurekebisha au kutengeneza au hata ushauri wa kufanya katika simu yangu. Tatizo kubwa ni ina lock ya icloud. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jinsi ya kudownload movies kutumia torrent: MAHITAJI U torrent au bit torrent amabayo unaweza ukagoogle alf ukainstall kwenye mashine...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Amani kwenu wa jamii. Naomba kuelekezwa nitumie program ipi inayoweza kudownload move katika simu za smartphone itakayoonyesha zaidi ya nusu saa. nitashukuru kama nitaelekezwa, Maana nyingi...
0 Reactions
16 Replies
23K Views
Habari zenu wakuu? mimi ni mwanaJF mkongwe japo kwa muda mrefu kidogo nilikuwa busy kidogo na kitabu, now I'm back. nafurahi kuona JF imekuwa improved kuanzia kwenye templates, page zinaload...
5 Reactions
27 Replies
12K Views
Huwa naamnini hapa tuna watalaam siyo wa Kawaida kwenye mambo ya IT. Nimedownload Total Video Converter sasa wanataka ninunue ili kuitumia namimi sina pesa. Tafadhali msaada mwenye ujuuzi ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina Huawei Home router. Model:HUAWEI Lte CPE B593s-22 IMEI:860091023456914 Msaada waku unlock niwenatumia line zote kwa sasa ni smile.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba Msaada wapi naweza nikahamisha video kutoka kwenye mikanda ya VHS kwenda kwenye CD hapa Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Habarini Wadau, Ni laptop mpya, na hii line nikiiweka kwenye simu natumia internet vizuri tu ila nahitaji kujuzwa namna ya kuconnect kwenye laptop kupitia Modem. Hapa kwenye configuration ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
.
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…