Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo. Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea...
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd...
2 Reactions
15 Replies
820 Views
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗳𝘀𝗶𝗿𝗶 𝘂𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘂𝗹𝗶𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝘄𝗮 Meta wako kwenye majaribio ya kuachia feature mpya ya kuweza kutafsiri ujumbe kwenye Whatsapp, itaweza kumruhusu mtumiaji wa Whatsapp...
0 Reactions
2 Replies
462 Views
Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc. Kazi hii...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Kuna Tetesi inasemekana Whatsapp wako kwenye majaribio ya kuweza kuleta feature yenye uwezo wa kuingia kwenye Whatsapp akaunti yako bila kutumia namba ya simu. Feature hii itaanza kupatikana kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia. WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C. Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Ilianza kama utani hivi wengi wakawa hawa amini, wengi wakaanza kutoa kejeri na kumbeza kumuona limbukeni tena wengine wa kaanza kutukana na kumuona mjinga. Kwa kijana mdogo sana kufanya maamuzi...
31 Reactions
106 Replies
16K Views
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wanajamvi,,,,,naomba msaada kama kuna anayejua process za kuhack game tajwa hapo juu anisaidie
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeazisha Kikundi cha kujifunza ufundi wa Madishi na kupata ujuzi zaidi hususani mafundi wenzangu join Hapa facebook
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Forever IPTV language package (3500pcs+ HD&SD live online): Albanian Arabic Africa Brazil Bulgaria Chinese Czech Canada Cyfrowy Polsat Dutch French German Greek Hungarian Italian...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
vifurush gan vizur va internet
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari waku... Moja kwa moja niende kwenye mada.nilikua naomba kufahamishwa, kama nimeibiwa au kupoteza simu ya IPHONE naweza kuipataje? Maana naskia hizi cm ni rahisi sana kupatikana pindi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu. This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat This...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom