Tetesi: Kwa Wale Mafundi Simu Wenzangu Nimekutana Na Hii Kitu...

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat

Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu.

This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat

This Android version is about to change the phase of Android OS with enforced system integrity boot checks, which won't allow Android to boot if the boot image or partitions are corrupt. Unlike the initials Android 4.4 kitkat OS that has supported verified boot.

Enforcing verified boot is definitely a step toward greater security for Android users, but it could also lead to more problems on devices suffering from software and/or hardware issues, where the possibility for disc corruptions to occur is greater.

You should also note that enforcing verified boot could potentially make it harder to root Android 7.0 Nougat and also difficult to install custom roms. Those with hard locked bootloaders will understand what I’m saying.

In other words, devices coming preloaded with Android 7.0 Nougat or upgraded to Android 7.0 might be root forbidden… You root it, you damage the software hence corrupting the boot image. You may not be able to tweak it the way you want.
I can't imagine how life will be without being able to root a device, tweak the device the way I want. Life will be difficult without rooting an Android device.

This is why I may never upgrade to Android 7.0 Nougat. I don’t know about you.
 
Usiogope root bado ipo pale pale watu wengi wenye Nexus 5x na 6p tayari wana root permission kwenye simu zao zenye Android Nougat.. Sijui labda tuagalie hizi Pixel (maana as far tunachojua simu tu za Verizon Pixel ndio zina locked bootloader so hizi tu ndio zitashindwa kuwa rooted) but unlocked version hazina shida
 
Lakini cha kutia moyo in Wajanja bado watavumbua namna nyingine ya kuroot.
 
Watu wataendelea kuroot android kirahisi kwa sababu ni open source, iOS ambayo ni closed lakini watu bado wanajailbreak sembuse hii android ambayo ni open source. Ila kuroot android ni hatari sana kama simu yako haina tatizo lolote maana kuwa rooted ni loophole kubwa sana inayoruhusu vulnerability hasa kwa data zako ndo maana mi huwa sioni umuhimu wa kuroot simu yangu
 
hata usiporoot, hizi simu zetu ambazo hazina hata security patch malware wanaroot simu wenyewe na kujieka kama system app
 
Kidogo kwenye marshmallow security wamejitahidi ingawa malware nyingi zinatoka play store na kwenye apk files, natamani siku moja play store wawe na eco system kama ya app store, kule huwezi kukuta app za kijinga kama play store ambako kumejaa kila aina ya garbage ya app
 
Ndo maana na jipinda na windows phone tuu maana huko nakuwa na amani kabisa ya security.
Sio miji android yenu
 
Usiseme amani kabisa labda useme kidogo maana windows nao ni wahanga tu. Mi naona labda uwe na devices 2, Unrooted ya kufanyia miamala na mambo muhimu na ya pili ya kufanyia manjonjo ili kuonja mambo ya tech la kisasa.
 
Usiseme amani kabisa labda use me kidogo maana windows nao ni wahanga tu. Mi naona labda use na devices 2, Unroofed ya kufanyia miamala na mambo muhimu na ya pili ya kufanyia manjonjo ili kuonja mambo ya tech la kisasa.
kuna security threat gani kwenye windows phone?
 
Mkwawa labda ni kwa vile hao jamaa wabaya hawajakodoleapo jicho lao Kwa sababu ya uchache Wa watumiaji.
security researcher wengi wameshindwa kuihack wp, na report nyingi zao zinaonesha ndio ina security kubwa.
kaspersky
http://betanews.com/2015/06/11/windows-phone-security-is-top-notch-says-kaspersky

maneno ya steve lord (white hacker)
Hacker Steve Lord says Windows Phone is the “hardest nut to crack” – WinBeta

mkuu kama umeitumia windows phone ina kitu kinaitwa room, app na mafile yake yanakaa sehemu moja, app moja haioni kitu cha mwenzake wala hazishei mafile hivyo inakuwa almost imposible data zako kuibiwa. vitu vinavyoshare simu nzima ni kama picha na video tu
 
mwenye firmware ya samsung s advance jelybin naomba anipe hata link maana nying nimepewa hazidownload nia yangu ni downgrade toka 4.4.3
 
Jamani naombeni msaada. Nina samsung note 2 rooted phone. Juzi ili freeze na screen kuwa nyeupe. Nimejaribu kufanya hard reset inakataa. Ila kunaoption moja tu ya ku apgrade android. Kutoka kwenye jellybin kwenda kitkat. Kwa sasa nimeiweka tu ndani najifikilia . Kama kunamjuvi wa hii mambo anishauri tafadhali
 
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat

Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu.

This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat

This Android version is about to change the phase of Android OS with enforced system integrity boot checks, which won't allow Android to boot if the boot image or partitions are corrupt. Unlike the initials Android 4.4 kitkat OS that has supported verified boot.

Enforcing verified boot is definitely a step toward greater security for Android users, but it could also lead to more problems on devices suffering from software and/or hardware issues, where the possibility for disc corruptions to occur is greater.

You should also note that enforcing verified boot could potentially make it harder to root Android 7.0 Nougat and also difficult to install custom roms. Those with hard locked bootloaders will understand what I’m saying.

In other words, devices coming preloaded with Android 7.0 Nougat or upgraded to Android 7.0 might be root forbidden… You root it, you damage the software hence corrupting the boot image. You may not be able to tweak it the way you want.
I can't imagine how life will be without being able to root a device, tweak the device the way I want. Life will be difficult without rooting an Android device.

This is why I may never upgrade to Android 7.0 Nougat. I don’t know about you.
Acheni unafiki, maisha yanarahisishwa vipi na wewe na wewe kuweza Ku root simu yako?
 
Wewe mbongo wewee una data gani za siri ambazo unaogopa watu wataziiba au meseji za vimada.. Acheni kuchekesha jamii
mkuu unakumbuka kabla ya ukoloni? kulitumwa watu wa aina gani Africa? ma explorer na missionaries unawakumbuka? sasa wana utofauti gani hao na leo hizi simu zetu zinazoiba data na kuzipeleka ulaya na marekani?

wakiiba data za mtu mmoja pengine si jambo kubwa, ila kumbuka hawa wanaiba data za nchi nzima, hebu fikiria mtu marekani kakaa kwenye kiti anajua kila kitu kuhusu Tanzania, mambo ambayo hata serikali yetu haiyajui, anajua leo scorpion kafanya tukio wapi, wilaya gani wanapenda saja kujichubua, anajua duka gani ukieka dawa za kuongeza makalio zitatoka sana etc

angalia nchi zilizoendelea kama urusi, china, India, japan etc wapo makini sana na data zao, wanapenda kutumia vitu vya nchini kwao, sababu unapojua kila kitu kuhusu nchi ni rahisi sana kuitawala hio nchi husika
 
Back
Top Bottom