Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Asee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama...
1 Reactions
9 Replies
948 Views
Picha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani. Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
5 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Redirect
Naangalia mpira hapa wa Equatorial Guinea vs tanzania naona kabisa hawa Equatorial Wana jambo lao mana sio kwaukosaji huu wa magoli Watanzania tunahitaji dua zenu tupate angalau draw.
0 Reactions
Replies
Views
Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
8 Reactions
51 Replies
6K Views
[emoji1428][emoji1428]Kuna wakati unaweza kufikiri kuwa unapofanikiwa kimaisha basi unafanikiwa pia kuwa na busara na hekima. [emoji3499]Unadhani kabisa busara na hekima hizo, ni sawasawa na...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine! Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
2 Reactions
24 Replies
6K Views
MCHANGANUOA WA MIKATABA YA SPORTPESA NA VILABU VYA SIMBA SC NA YANGA SC YANGA Mkataba wa jumla wa Yanga SC na Sportpesa ni shilingi 5,229, 349,688. Mkataba huu una ongezeko la asilimia 5%...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Poleni kwa msiba, Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Sven Vandebrock ameishtaki klabu ya simba fifa kwakuwa klabu hiyo imeshindwa kumlipa kiasi cha Tshs 101 milioni kama hela za mishahara na posho...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Imekuaje Metacha Mnata kaitwa Kikosi Cha Team Ya Taifa Stars Kama Mchezaji Wa team Ya Young African Wakati Alishaondolewa Yanga?
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Klabu ya al hilal ya sudan imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani. As Vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani. Rais wa As vita athibitisha. Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka?
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwanza kabisa nianze kuwapongeza kwa mwendelezo wa matokeo mazuri katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika hatua ya makundi na mapaka sasa mpo kileleni na jumla ya alama 10. Sisi wadau kwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada, Clouds fm ni kituo cha redio chenye watangazaji (wachambuzi/watoa maoni) wengi zaidi katika kipjndi cha michezo japo hawakutani wote kwa pamoja. 1. Shaffi Dauda 2. Alex...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Redirect
Katika kizazi hiki Msanii bora wa kutunga nyimbo za maombolezo zener hisia ni Msechu peke yake Tunzi bora na sauti safi hawa wengine wanatupigia kelele
0 Reactions
Replies
Views
SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Sasa si ajabu tena kuona mchezaji kutoka klabu ya Tanzania anaingia katika kinyang'anyiro cha tuzo ya mchezaji bora Afrika. Piga kura yako kupitia link hapa chini ili kumpa nguvu kijana kutoka...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kunako michuano ya Uefa Champion Lague iliyofikia hatua ya mtoano (16 bora) baada ya draw kupangwa walijitokeza watu kutoa maoni yao juu ya timu zitakazo fuzu kwenda hatua ya robo fainal lakini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nawaomba sana tumpigie kura Luis Miqsone akawe mchezaji bora kwa mara nyingi. Fanya sasa hivi muda umebaki kama masaa 15 tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom