Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutokana na makosa waliyokutwa nayo nakupelekea kufungiwa kutoshiriki michuano ya Europe kwa kipindi cha misimu miwili, tutajarie haya kwa baadaye endapo rufaa yao ikikataliwa au kushindwa. 1...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Sikuu nilikuja kuandika shida uwanjani siyo refa, waamuzi walipwe hela zao. Chanzo kilekile, nimekuja leo kuwajulisha Yanga mjiandaae marefa wamepanga kusahau kabisa faulo za Morrison na hata...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika. Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app Timu zipi zitapita hapa?
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Yes polepole wanaume halisi wanaanza kuonekana. Sio wale wa kupigiwa upatu au wale wenye wachezaji wenye majina makubwa. Alianza Juve, watu wakatuaminisha hana mpinzani Serie A ni kweli wachezaji...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Mpira wa miguu (pia soka au kandanda ) ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja. Lengo hasa la mchezo huu ni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hello Tanzania na Kote Duniani...! Naaam mwendelezo wa patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuvurumishwa leo February 18, 2020 ambapo Mfalme wa Nyika, Mnyama Mkali, Simba SC...
7 Reactions
112 Replies
12K Views
Mpaka sasa mechi zilizochezwa* 1. Simba mechi 21 2. Azam mechi 21 3. Yanga mechi 19 B Mechi Walizobakisha* 1. Simba mechi 17 2. Azam mechi 17 3. Yanga mechu 19 . . C* wakishinda mechi zote...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni. Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA. Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna account nyingi zenye jina Simba Sports Club ila yenye blue tick ndiyo account rasmi ya klabu ya Simba; hiyo tiki inamaanisha kuwa account siyo feki. Process za kupata blue tick ni nyepesi ni...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo ntakua na kazi moja tu kumuangalia Kiungo makini sn,ambaye huwa namuona kakamilika kwa kila kitu. Si mwingine bali ni Baraka Majogoro. Baada ya mechi ntaongea zaidi. Baraka vs Tshishimbi...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wahenga wanasema mtu husifiwa kwa kile akitendacho siyo ajuacho. Katika mtanange wa leo kati ya Simba Vs Kagera Sugar Mzee Mwenye Lindo Juma Nyoso ameonyesha kiwango cha juu sana. Ilikuwa kama...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Klabu ya Simba ipo njiani kuifanyia marekebisho nembo yao ili iwe ya kisasa na iendane na wakati.Inasemekana kuwa wapenzi wa Simba hawataki kumwona Simba aliyekonda katika nembo hiyo, hivyo...
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Haya ni mambo 5 yanayoniumiza sana Roho 1. Kucheza ligi ambayo mpinzani wa jadi ni Yanga. Hii ni kudhalilisha team ya Simba. 2. Simba kucheza dakika 90 kama team nyingine.hii si haki.sisi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Lengo la kuileta tech hii lilikua zuri isipokua kumekuwepo mapungufu au dosari katika mfumo huu, nini kilitakiwa 1) Var ilitakiwa iwe ina operate yenyewe kama mashine katika maamuzi kwa 95%...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
Tanzania tumepangwa kundi D ambalo lina timu:- Tanzania, Zambia, Guinea na Namibia. jJe wadau wa mpira katika kundi hili hatuoni kwamba tutakuwa tumepata nafasi angalau kati ya mshindi wa kwanza...
1 Reactions
6 Replies
898 Views
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather. Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
. Manchester City wamefungiwa kutoshiriki Michuano ya UEFA kwa misimu miwili (2020-2022) na faini ya Euro Million 30 hii inatokana na kukiuka masherti ya kanuni ya Financial Fair Play (FFP) ...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu...
1 Reactions
1 Replies
760 Views
Naaam...bila shaka wote hamjambo kabisa, na nasema Amani iwe kwenu Mungu Awatangulie..! Ni Jumamosi nyingine ya February 15, 2020 ambapo nyasi kwenye viwanja mbalimbali kuwaka moto katika...
5 Reactions
86 Replies
10K Views
Back
Top Bottom