TFF munajua kampeni maalum ya marefa vs Morrison wa Yanga? Mjiandae

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Sikuu nilikuja kuandika shida uwanjani siyo refa, waamuzi walipwe hela zao.

Chanzo kilekile, nimekuja leo kuwajulisha Yanga mjiandaae marefa wamepanga kusahau kabisa faulo za Morrison na hata itakapotokea penalty, basi anguko lake ama kikombe kile kimwangukie mwamuzi msaidizi.

Wao kama wao wameapa hawataruhusu penalty wala upigwaji wa faulo utakaomhusu mchezaji Morrison.

Najua baadhi yao wanasoma hapa. Samahanini sana mimi ni Yanga damu, sikuweza kumeza mpaka kesho.

Naomba kwa hili TFF waangalie mechi zote za Yanga mtuambie hili lisemwalo hapa ni kweli ama si kweli.

Nilipoandika swala la waamuzi hawajalipwa wapo walionihoji inbox, "Nani kakwambia?"

Mkuu wa TFF akakataa hakuna madeni.

Siku inayofuata Bw. Kidau akamwaga mbogaa wanadai mamilioni.

Sasa na hili tusubiri kinachoendelea; poleni sana sana Yanga.
 
Kenya -Nzige
China -corona
Sudani kusini-vita
Tanzania -Yanga
Dunia imejaa matatizo Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom