hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
Kuna account nyingi zenye jina Simba Sports Club ila yenye blue tick ndiyo account rasmi ya klabu ya Simba; hiyo tiki inamaanisha kuwa account siyo feki.
Process za kupata blue tick ni nyepesi ni kutuma tu leseni na vielelezo vichache kuonesha kweli wewe ni mmiliki halali,
Yanga tunakwama wapi?
Pengine tuna wafuasi wengi kuliko Simba lakini hakuna verified account, hivyo wafuasi wanasambaa kwenye viji account mbalimbali vilivyoanzishwa na watu mbalimbali.