Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko Yanga kuwa bingwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,185
103,700
Mpaka sasa mechi zilizochezwa*
1. Simba mechi 21
2. Azam mechi 21
3. Yanga mechi 19

B Mechi Walizobakisha*
1. Simba mechi 17
2. Azam mechi 17
3. Yanga mechu 19 .
.
C* wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itaongeza points 51
2. Azam itaongeza points 51
3. Yanga itaongeza points 57.
.
.
D Wakishinda mechi zote zilizobaki*
1. Simba itafikisha points 104
2. Azam itafikisha points 95
3. Yanga itafikisha points 95 .
.
E. Ili Simba awe bingwa anatakiwa kushinda mechi 14 kati ya 17 alizobakiwa nazo* .
.
F* Ili Azam awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 17 na simba walau afungwe 3 na atoe droo 1 .
.
G. Ili Yanga awe bingwa inatakiwa ashinde mechi zote 19 zilizobaki, azam afungwe walau mchezo mmoja, simba afungwe walau mechi 3 na kutoa droo mechi 1.* .
.
H. Ikitokea Simba wakafungwa mechi 3, Yanga akashinda mechi zake zote 19 na Azam akashinda mechi zake zote 17 wote watatu watakuwa na point 95. Lakini Simba atakuwa na faida ya goal difference. Hivyo atakuwa bingwa.
 
Kiongozi, unaliona hilo kwenye bold kwamba haliwezekani?
Tusubiri mwisho wa msimu.
 
Ukicopy andiko la mtu,mtambue mwandishi wa andiko hilo kwa Kikurya tunaita akinolejimenti....... .....hata mkiwa mabingwa nyie wenyewe hamuwezi kuwa na furaha maana approximately points15 ni za mezani (Msomali)
 
Ugumu uko wapi hapo? Labda kama mtadumisha tabie yenu ya kununua/kuhonga waamuzi na wachezaji! Mechi 19 zilizobaki ni nyingi sana, huwezi dharau mpinzani wako kirahisirahisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe waache...yatawakuta muda siyo mrefu Kama ya Man City.,watu wanakusanya data tu kwa Sasa kuhusu rushwa na uhongaji wa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani...Kuna timu inaweza ikashushwa daraja...ni rahisi Sana kudukua simu...yaani game inakaribia kuchezwa baadhi ya watu wanaojiita wa watu wa mpira wa klabu Fulani muda mwingi wanahangaika kutafuta simu za wachezaji au kocha wa timu fulani. What for?!? Ni rahisi kabisa kutambua game iliyonunuliwa...mashabiki wanaaminishwa timu ni Bora kumbe ni ubora wa kununua game....Miaka michache tu iliyopita Juventus iliwahi kushushwa daraja kwa kuendekeza ujinga Kama huu.
 
Back
Top Bottom