Sisi ni Walimu tumesoma BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION. Yaani mwl IIIC Shule ya Msingi, tunaomba Serikali itukumbuke jamani.
Wanaajiriwa watu waliosoma BACHELOR NA DIPLOMA OF...
Mimi ni miongoni mwa waliokua watumishi wa makataba katika Hospital ya Wilaya Ubungo UDH.
Kabla sijasitisha mkataba tulikua tunadai fedha za Overtime tangu October 2025 mpaka June 2026. Sasa...
Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama...
Ninahitaji bajaji ya hesabu/mkataba ya gesi.
Namba yangu 0781156771.
Leseni ninayo
Nipo Maili Moja, ila ninafanya shughuli za udereva Barabara ya Morogoro
Ajira Mpya katika sekta ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, tuliingia kazini na kuripoti Agosti lakini mpaka sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutolipwa mshahara wetu wa...
Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE.
Tunaomba...
Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana...
Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila...
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi.
Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi...
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka...
Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia...
Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na...
Kwa ambao tunafanya intership wenye mikataba na TAESA fedha ya kujikimu haiendani na uhalisia wa maisha ya sasa ambayo ni 150,000.
Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati swala hili maana...
Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara.
Malipo yetu yanategemea mpaka...
Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited.
Nilikuwa...
Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi.
Hata hivyo, nimegundua kuwa...
Mimi ni mkazi wa Arusha hapa Ungalimited, nilikuwa mwajiriwa halali wa Hospital ya Tanga Central Hospital iliyopo Tanga nilifanya kazi pale kwa muda wa miezi 7 na kumaliza mkataba wangu ila mpaka...