Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu Huu ni mwezi wa pili since march 2025 toka niajiriwe lakini watu ni masikini sio poa. Hii kampuni ina vituko sana. Wana revenue kubwa ila mpaka leo mshahara hatujalipwa
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Join Our Talent Team at Career Mastery Hub Private Limited Career Mastery Hub is on a mission to empower communities through career guidance, academic support, and personal growth. We're looking...
1 Reactions
2 Replies
483 Views
WE’RE HIRING: Digital Advertising Manager We are seeking an experienced digital advertising manager to spearhead our digital marketing efforts across multiple platforms, including Google...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
Mtumishi wa Umma Anayetaka kuhamia mkoa wa pwani kutoka mikoa yote Tanzania kasoro kigoma, katavi na shinyanga ila hususani Tanga, fani ni mechanical engineer karibu tubadilishane
2 Reactions
2 Replies
251 Views
Find potential clients, negotiate and close the deal Maintain customer relationships, track sales data, and create daily/weekly reports. Research and analyse market trends, competitor offerings...
3 Reactions
5 Replies
870 Views
Habari za leo ndugu zangu hope mko fine. Poleni na mihangaiko iliyo na changamoto ya kuhakikisha mnapata daily bread. Niko hapa leo kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Anonymous
Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu natafuta kazi zile za chap chap kama vile kufyeka nyasi naondoka na hela, kufua nguo za kike na za kiume imladi umeshaziloweka na sabuni ya unga nakuja nafika nafua fasta...
12 Reactions
29 Replies
943 Views
Nimesoma clinical medicine. Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu. Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Hello JF family Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamhuri ya Muungano.... Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza. Ndugu zetu...
15 Reactions
48 Replies
5K Views
Sifa za waombaji; 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa Dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe...
10 Reactions
99 Replies
5K Views
Hi guys. Kuna nafasi moja ya internship kwenye organization inayodeal na elimu mkoani Kagera. Sifa 1.awe mwalimu wa kike 2. Awe mkazi wa mkoa wa Kagera especially wilaya za Bukoba,Mleba,Karagwe...
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Usilipe pesa kupata kazi mtandaoni* KWA SABABU ⬇️⬇️⬇️ Nimejitolea kumsaidia kila kijana mwenye uhitaji na kazi bila kujali elimu yake kwa sasa nitaposti kazi zote kwenye huu uzi na ni bure...
10 Reactions
88 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wanajamii wenzangu, Naomba kuchukua nafasi hii kuwasalimia na kuwaomba msaada wenu. Mimi ni kijana mchapakazi, mwenye ari na nguvu za kufanya kazi mbalimbali ili niweze...
3 Reactions
9 Replies
437 Views
Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting) Ndugu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kwa heshima kubwa, mimi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Company Overview Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are...
1 Reactions
2 Replies
575 Views
Rejea na kichwa cha habari hapo juu mimi kijana wa miaka 28 nina level ya masters degree ya computer science nikiwa nimemaliza mwaka 2025 nipo hapa kuleta jukwaa langu sina expirience ya kazi ila...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu mwenye uzoefu wa practical interview Serikalini anipe mwanga huwa inakuaje natanguliza shukrani
2 Reactions
2 Replies
295 Views
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu, Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom