Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.

Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.

Wasiliana nami kwa pm nikipe email address yangu utume vyeyi vyako ok
 
spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,533
2,000
Kwanza Ubaharia ni Kozi gani?
Nijuavyo mm kuna kozi kama za Marine Engineering hivi, Marine Transportation(Deck),Cardet nk. Sasa hii kozi unayoisema inanipa tabu kidogo.
Anyway Ukimpata Olekashe ama Katandula watakushauri vizuri.

Siamini kama umetafuta kazi vya kutosha, Tatizo lako unataka uanze na dola 2000 au 3000 ezIF unexperience. Umekomaa na Dar kwa nini usiende Mwanza/Kigoma au Kyela?

Af vitu vingine inashangaza mikazi imejaa Mtwara kwenye Gesi kule umekaaa Dar, we unadhani nani anayeweza kufanya kazi kule kama siyo mtu wa marine???

Ni PM nikupe maujuzi dogo
 
Mgalatasalai

Member
Jan 23, 2013
8
0

Ni PM nikupe maujuzi dogoshukrani ndugu
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,939
2,000
Kwanza Ubaharia ni Kozi gani?
Nijuavyo mm kuna kozi kama za Marine Engineering hivi, Marine Transportation(Deck),Cardet nk. Sasa hii kozi unayoisema inanipa tabu kidogo.
Anyway Ukimpata Olekashe ama Katandula watakushauri vizuri.

Siamini kama umetafuta kazi vya kutosha, Tatizo lako unataka uanze na dola 2000 au 3000 ezIF unexperience. Umekomaa na Dar kwa nini usiende Mwanza/Kigoma au Kyela?

Af vitu vingine inashangaza mikazi imejaa Mtwara kwenye Gesi kule umekaaa Dar, we unadhani nani anayeweza kufanya kazi kule kama siyo mtu wa marine???

Ni PM nikupe maujuzi dogo

hebu tupe maujanja ya kupata kazi mtwara kwenye gesi mkuu.
 
Lau99

Member
Dec 4, 2020
5
20
Wasiana nami kwa pm nikipe email address yangu utume vyeyi vyako ok
Habari Zenu Wakuu Nimesomea Custody Transfer for oil and Gas. Pamoja na Pipeline System across the country Nina Certificate zinazoniwakilisha, naombeni Nafasi ya Internalship Plz
 
mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
5,292
2,000
habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.

Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.
Una rank gani Mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom