Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi
Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training...
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
Job Summary:
Job Posting Service
Responsible for achievement of set sales turnover in a given territory and effective management of sales staff to realize maximum product availability at all...
Vacancy:
Occupational Therapist
Ref: 2025 – 27
Our story
Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the preferred provider of accessible specialized health...
SINORAY Job Opportunities – October 2025
Stock control – motorcycle & spare parts (3 posts)
Location: Kibaha
Organization: SINORAY
Note: Priority will be given to candidates residing in or near...
CRDB Bank PLC, a cornerstone of Tanzania’s financial sector and a leading bank in East Africa, is renowned for its innovative approach to banking and commitment to fostering talent. With a strong...
Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) is a fully fledged commercial bank 100% owned by local Tanzanians. We have an exciting opportunity for enthusiastic and committed individuals to join our dynamic...
Reference Number
ALAF/2025/02
Description
The Customer Service Manager is responsible to driving Customer First value by ensuring that the processes and the teams deliver on the desired customer...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama...
Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi.
🔑 Muundo wa...
Ok cheti umekisotea kinaonyesha umesomea taaluma flani kwa ngazi ya diploma, degree au masters.
Tatizo ni kwamba hapa Tanzania hakuna ajira za kuwatosha nyote, kama kwenye moja haiwezi kukaa...
naandika kwa moyo mzito na unyenyekevu mkubwa. Nilipata kazi ya mgodini, kazi ambayo niliona itakuwa mwangaza wa maisha yangu na fursa ya kusaidia familia yangu. Lakini kwa masikitiko makubwa...
1.Idara ya elimu ya msingi
2.Idara ya kilimo
3.Idara ya michezo
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.Idara ya usafi na mazingira
6.Idara ya utawala
7.Idara ya ujenzi
8.Idara ya Elimu secondary
Huko watu...
Mfano umepeleka barua kwenye interview ukaitwa ukafanya alafu ukaambiwa utapigiwa simu...
Unatakiwa kufanyaje ili kupotezea mimi naenda na simu Hadi chooni sasa
Imekaaje hii
Tunapoamka kila asubuhi na kuingia kwenye mitandao kutafuta ajira mpya, huwa tunaingia na matumaini makubwa. Tunaamini labda leo ni siku ya mabadiliko, siku ya kuingia kwenye maisha bora. Lakini...
🚀 Geosky Company Inaongeza Timu Yake!
Tunakukaribisha kujiunga nasi kama Survey Technician mwenye ari, ubunifu, na ujuzi wa kitaalamu katika Geomatics.
📍 Nafasi: Survey Technician
📚 Kiwango cha...
Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam...
Mimi ni Me, umri miaka 21. Nina ujuzi wa land surveying
topographic Surveying
engineering surveying
cadastral surveying
..na. Uwezo wa kutumia software kama civil 3d na Qgis. Na vifaa kama level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.