Kama mada inavojieleza makosa baadhi Yanayotutoa kwenye placements kwa uzoefu mkubwa wangu ni huu
Kipindi cha written interview
1 . Wasailiwa baadhi husahau vyeti vyao vya qualifications bila...
Position: Safari Driver (Tour Guide)
Responsibilities
Understands the company’s objectives and standards, values, and culture of the company applying them on the job daily.
Greet all guests...
Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya...
Nimeitwa kwenye usaili na hawa jamaa,ingawa nimeperuz kwenye website yao,ila naomba mwenye kuijua kwa undan aniambie hapa,hata na scale zao zikoje kwa graduate,as long as hili ni shirika la KIMATAIFA
Kwanza nawashukuru sana member wote wa JF kwani nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia huu mtandao.mi nipo mwaka wa mwisho nategemea kumaliza mwezi wa 7,je nikimaliza naweza kupata kazi...
Habari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu...
Mimi ni kijana niliyemaliza elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) na nina uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na uaminifu. Niko tayari kwa kazi yoyote halali ikiwemo za ofisini, ulinzi...
Habari.
Ni mwezi sasa mfumo wa ajira portal unasumbua kwamba kwa tunaohitaji kucreate account sms ya kuactivate account hairudshwi kabsa, unajaribu kupiga simu kwa namba walizotuwekea pale lakini...
Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo
Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es...
Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana...
Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya.
Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration)...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service...
Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe.
Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira...
Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw...
Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.