I want to be a sea man.

I want to be a sea man.

moxec

Senior Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
191
Reaction score
206
Hi everybody, when i was a little boy i had a dream to be a marine engineer but unfortunately i studied Ordinary Diploma in Electrical Engineering at Mbeya University of Science and Technology. Currently i pursue Bachelor Degree in Electrical Engineering at Mbeya University of Science and Technology so my question is what i suppose to do in order to be a marine engineer/ to work on a ship?
 
Ushauri tuu, ukimaliza chuo nenda Pale DMI, Kuna Course za Ubaharia kama miezi mitatu. na utakutana vijana wengi ,Mabaharia waliokuja kuongeza elimu. Na hapo chuo utapata connection nyingi sana since makampunimengi yanapendaga sana kuchukua vijana wa Kitanzania hapo chuo sababu ni cheap. uJIANDAE KUGONGEWA
 
Chuo cha Marine hapa ni DMI (Dar es Salaam maritime Institute).
I nategemea kama utataka kusoma "COC" (Class of competence). Kwa mtu ambaye unataka kuwa upande wa Engine utaanza na "class4 mpaka class, 3", ukimaliza "COC class 4" yaani ukimaliza kusoma darasani unaenda mafunzo kwa vitendo baharini kwenye meli (Sea time). Baada ya hapo unarudi darasani kwa ajili ya mtihani wa mahojiano (oral). Ukimaliza utapewa cheti chako cha "class 4"endapo umefaulu. Sasa unatakiwa ujishamaliza" class 4" utafauata utaratibu huo huo mpaka unafika "class1". Ila kwa DMI kama unasomea uhandisi, ukimaliza diploma utatakiwa uende "Sea time" kisha ufanye mtihani wa "oral" ukifaulu utakuwa na COC class 3. Kwa hiyo utakuwa na diploma ya marine engineering pamoja na Class 3.
Kwa kweli "Marine" unasoma kwa muda mrefu na ndo maana watu huwa wanaghushi meli waliopanda pamoja na mihuri ya meli.
Kwa hiyo maliza degree yako kisha kutembelea Hichi chuo (DMI) na utapata maelekezo Mazuri
 
Mkuu Endelea Na Hiyohiyo Fani Yako Ya Kupanda Nguzo! Usilazimishe Fani Ni Hatari...
 
Ahsanteni sana wote kwa mchango wenu itabidi nifanye kama mlivyo nishauri
 
Back
Top Bottom