Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
4 Reactions
12 Replies
261 Views
Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo...
4 Reactions
5 Replies
774 Views
1.Tafuta kazi 2.Tafuta mfanyakazi 3.Tangaza biashara yako 👇👇
5 Reactions
26 Replies
894 Views
Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata. Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi...
5 Reactions
27 Replies
9K Views
Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1 Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba la miparachichi Shughuli zenyewe ni kama ifuatavyo 1.Kutunza miti ya parachichi ikiwemo...
16 Reactions
126 Replies
5K Views
Haya maisha bana,sometimes hayana nidhamu. Baada ya kufulia mtaani muda mrefu nimepiga mishe za saidia fundi sana mtaani nikawa nishajikatia zangu tamaa ya kuajiriwa. Kuna siku nikapigiwa simu...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
4 Reactions
516 Replies
84K Views
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho...
2 Reactions
1 Replies
235 Views
𝗧𝘂𝗻𝗮𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗲𝗻𝗲𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼: 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘇𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mawasiliano: 📞 0753786858 ✉️...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
𝗧𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗨𝘀𝗮𝗳𝗶 Kampuni ya 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 inawakaribisha wateja kwa huduma bora za usafi kupitia 𝐀𝐦𝐢𝐜𝐚𝐛𝐥𝐞 𝐂𝐥𝐞𝐚𝐧𝐢𝐧𝐠 𝐒𝐞𝐫𝐯𝐢𝐜𝐞𝐬. Tunafanya usafi kwa ufanisi katika: Ofisi...
2 Reactions
10 Replies
393 Views
Naomba ushauri kuhusu kampuni hii ya BF SUMA nimepata kazi apo ya sales but katika clarification nimebaki njia kuu msaada
2 Reactions
4 Replies
231 Views
Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari wadau. Mimi nipo Dar nahitaji msaada wa kupata bajaji ya Kipande au mkataba tufanye maisha niweze kukidhi mahitaji ya familia
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
3 Reactions
3 Replies
247 Views
Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za...
3 Reactions
11 Replies
862 Views
Wakuu Niaje wanangu! lakini mi leo nakuja hapa kama mwananchi wa kawaida kabisa, yani mzembe tu 😂. Nimechoka kukaa home kama baba wa nyumbani bila watoto. Nisaidieni jamani kabla sijaanza kuuza...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani...
5 Reactions
20 Replies
927 Views
Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics...
3 Reactions
15 Replies
415 Views
Wakuu, nimejikuta kuwa na passion ya kufundisha kuliko kitu chochote kile yaani. Ipo hivi, nimesomea IT bachelor pale UDSM nimehitimu mwaka jana. ilivyofika mwezi wa pili mwaka huu, katika...
0 Reactions
4 Replies
286 Views
Back
Top Bottom