Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Human Resources Officer RTI Tanzania The Real Transformation Initiative (RTI) – Tanzania is a nonprofit, non-governmental Organization (NGO) dedicated to providing research and programme...
1 Reactions
1 Replies
449 Views
Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
1 Reactions
1 Replies
175 Views
Happy New Year 2026 – Wishing you a year filled with good health, success, and sustainable progress for everyone!
4 Reactions
3 Replies
204 Views
Ndugu wasomaji na wanajukwaa naomba mfumo ufiche majina yangu niliyosajilia humu na hili jambo liende public tupate majibu ya serikali. Tarehe 5 Juni 2025 serikali kupitia sekretarieti ya ajira...
1 Reactions
9 Replies
423 Views
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na...
28 Reactions
119 Replies
6K Views
Ndugu Wanachama na Wataalamu wa Sheria wa Jamii Forum Napenda kuwasalimu kwa heshima. Ninaandika barua hii kwa heshima kubwa kuomba ushauri na ufafanuzi wa kisheria kuhusu taratibu halali za...
3 Reactions
15 Replies
986 Views
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀)...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Ukihutaji msaada wasiliana na 0623446608
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery, SIFA: Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery Anajua kutumia computer Mwaminifu Awe na umri 20-25 Awe ni mkazi kati ya haya maeneo Mbezi kimara...
2 Reactions
4 Replies
520 Views
Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
4 Reactions
12 Replies
261 Views
Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo...
4 Reactions
5 Replies
773 Views
1.Tafuta kazi 2.Tafuta mfanyakazi 3.Tangaza biashara yako 👇👇
5 Reactions
26 Replies
892 Views
Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata. Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi...
5 Reactions
27 Replies
9K Views
Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1 Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba la miparachichi Shughuli zenyewe ni kama ifuatavyo 1.Kutunza miti ya parachichi ikiwemo...
16 Reactions
126 Replies
5K Views
Haya maisha bana,sometimes hayana nidhamu. Baada ya kufulia mtaani muda mrefu nimepiga mishe za saidia fundi sana mtaani nikawa nishajikatia zangu tamaa ya kuajiriwa. Kuna siku nikapigiwa simu...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
4 Reactions
516 Replies
84K Views
Back
Top Bottom