Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Company Overview First Housing Finance (Tanzania) Limited is the leading housing finance company in Tanzania. We are dedicated to offering long-term housing finance solutions to Tanzanian...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Summary We are seeking a skilled and experienced Banquet Manager (Local Position) to lead and oversee all banquet operations at Hyatt Regency Dar es Salaam. This role is open to qualified local...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Job Summary Job Title: Compliance Officer The Compliance Officer is responsible for ensuring that the organisation maintains full compliance with applicable standards and regulatory...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka...
0 Reactions
9 Replies
644 Views
Anonymous
Mimi na wenzangu tumefanya kazi ya ujenzi katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkoani Shinyanga kujenga shule tangu tarehe 1/11/2025 hadi leo hatujalipwa pesa yetu. Sisi tulikuwa vibarua na...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Anonymous
Kero yangu, Kumekuwa na tabia ya wakurugenzi wa halimashauri na makatibu tawala mikoa kuzuia vibali vya uhamisho wa watumishi bila sababu zozote za msingi. Mfano halisi mkoa mwanza. Aidha...
0 Reactions
7 Replies
340 Views
Aise! Maisha siyo lelemama! Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na mijadala ya bei za kupaki bodaboda katika vijiwe mbalimbali, kwa Dar na mikoani. Kilichonishangaza...
5 Reactions
10 Replies
327 Views
Wasaalam ndugu zangu wa Jf mhali Gani wakuu, ni Mimi kijana, mtoto wenu natafuta kazi ya kufanya iwe yoyote Ile halali ellimu yangu stardard 7 nipo ujuzi wowote unatakiwa kama kuongea vizuri, na...
3 Reactions
6 Replies
307 Views
....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma...
0 Reactions
11 Replies
314 Views
Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Anonymous (8196)
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na...
0 Reactions
8 Replies
348 Views
Anonymous
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Je una changamoto ya mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL, UTUMISHI PORTAL NK? tuwasiliane kwa 0623446608 tusaidiane
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Habari tunafuta mwalimu wa part time aliyepo Arusha anayemudu kufundisha masomo tajwa hapo juu, ANAWEZA KUWASILIANA NASI 0658547794 ENEO LA KAZI: NI CHUO CHA AIHM ARUSHA SAKINA
2 Reactions
1 Replies
158 Views
Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
0 Reactions
3 Replies
187 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza...
0 Reactions
15 Replies
669 Views
Anonymous
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
2 Reactions
10 Replies
302 Views
Wakuu habar naitwa Alex Peter nipo Dar es Salam, umri wangu miaka 29. Natafuta kazi yoyote, nina fani ya udereva kipindi cha nyuma nilikuwa naendesha bolt na uber. Naomba mwenye kazi yoyote...
1 Reactions
4 Replies
567 Views
Back
Top Bottom