Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote ...
Habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.
Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku...
About
Announcement Number:
DaresSalaam-2024-023
Hiring Agency:
Embassy Dar Es Salaam
Position Title:
Maintenance Mechanic – Plumbing (Internal Candidates Only)
Open Period:
04/23/2024 – 05/07/2024...
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa.
mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 33yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2016. nimefanya kazi katika facility...
Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting...
Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi...
Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing
Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja...
Hi everybody, when i was a little boy i had a dream to be a marine engineer but unfortunately i studied Ordinary Diploma in Electrical Engineering at Mbeya University of Science and Technology...
Mimi ni Kijana 25,
Naomba KAZI yoyote ya nguvu na akili. Nipo Tabora ila naweza kwenda mkoa wowote kupiga KAZI.
Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Nina ujuzi wa kutumia computer (Microsoft...
Wakuu.
Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal.
Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post...
Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa.
Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati...
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi...
Drone ina uwezo wa kufanya mission planning ukaituma eneo unalotaka ikarudi ulipo hata umbali wa KM 8-15, so unaweza kuirusha from safe distance bila wasiwasi.
Tunaomba picha na video.
Pia kama...
Job Description
Save the Children is committed to achieving breakthroughs for children in Tanzania including no child dying before their fifth birthday. Save the Children Tanzania implements...
Management Accountant Position at GSM Beverages
Position Overview
Position: Management Accountant
Business Unit: GSM Beverages
Reports To: Finance Manager
Duty Station: Dar es Salaam
Key...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.