Bado natafuta kazi, mimi ni Mhitimu wa Sheria

Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia

Naweza kufanya mahakamani,kwenye law firm mbalimbali,etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania

Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru
Kua jobless sio kazi nyepesi wakuu

Prosperity96
Bandar Abbas
Pole kwa changamoto na Hongera sana Msomi kwa kupambana hadi kupata Degree pamoja na kuwa na utayari wa kufanya kazi yoyote,naomba kukutafuta PM japo sina mchongo wowote
 
Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.

Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.

Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru.

Kuwa jobless siyo kazi nyepesi Wakuu.

Prosperity96
Bandar Abbas
Jitahidi Kupita na huko Ajira Portal
Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.

Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.

Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru.

Kuwa jobless siyo kazi nyepesi Wakuu.

Prosperity96
Bandar Abbas
Jitahidi kupita na huko Ajira Portal
 
Chukua michongo hii ifuatayo:-
1. Nenda CMA au Ofisi ya kazi tega pale kuna watu wanafukuzwa kazi kila siku sio lazima uwe Wakili kumwakilisha mfanyakazi CMA mfano kujaza CMA F1 ni Tsh. 50000 kwa Dar es Salaam.
2. Nenda kwenye viwanda vya wachina waambie wewe ni mwanasheria unaweza kuwasaidia kwenye kazi zao
3. Unajua kuandika sababu za rufaa? Kwenye kesi za civil na criminal? Kuandika written submission? Pita mahakama mfano za mwanzo watu wanakuwa hawajaridhika na maamuzi so hapo weka mazingira mazuri na watu wa mapokezi kwenye mahakama watakusaida.
NB Kwenye Sheria kuna kazi ila ajira hakuna.
 
Shukrani nimepata pakuanzia mkuu
 
Brilliant
 
U

Unamfundisha kuwa kishoka .tuki mshika atajuta aende law school
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom