Habar ya saizi wana JF wote nakuja kwenu mdau mwenzenu nikiwa nahitaji msaada wenu, mimi nna taaluma ya welding technology napauwa magodawn kanisa mageti glill dor nk.
Nimefanikiwa kupata...
Salaaam wakuu!!
Mimi nilikuwa mwalimu wa shule ya msingi katika halmashauri moja mkoani Pwani, katika harakati za kuangaika nikatoroka nikaenda kusoma baada ya kumaliza shule sikurudi kazini...
Kumekuwa na utaratibu kwamba wanufaika wa mikopo wanapoajiriwa katika sekta ua umma hawakatwi mshahara Kwa ajiri ya malipo ya HESLB Hadi baada ya mwaka mmoja kazini
Hali hii ni tofauti Kwa sekta...
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa...
Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako..
Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu,
Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home...
Wakubwa nimewaza tu kwa sauti tunakoelekea mambo yanaenda kuharibika pesa itakuwa adimu sana na pengine serikali ikashindwa kulipa mishahara, ikitolea hivyo mabenki yatapoteza imani na watumishi...
AS4G Visibility Conference – Opportunities to Work in Germany
Join us this Friday for an insightful conference on pathways to work and train in Germany under the African Skills 4 Germany (AS4G)...
Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote ...
Habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.
Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku...
About
Announcement Number:
DaresSalaam-2024-023
Hiring Agency:
Embassy Dar Es Salaam
Position Title:
Maintenance Mechanic – Plumbing (Internal Candidates Only)
Open Period:
04/23/2024 – 05/07/2024...
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa.
mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 33yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2016. nimefanya kazi katika facility...
Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.