Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu lengo nahitaji msaada wenu wa kimawazo na vitendo. Nianze kwa utambulisho mdogo Me ni kijana ambae nina umri wa 21yrs. Ambae pia natokea moja kati ya...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Ndugu zangu habari za siku poleni sana kwa majukumu ya kila siku. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja Nimefungua biashara ya uzaji wa accessory za computer yaani device zote zinazo husiana na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Naulizia kuhusu hawa DDC walitangaza nafasi za kazi kupitia Utumishi, hivi walishatoa majina ya waliochaguliwa kwenye Usaili wakuu? Thanks!
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari mimi ni vijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza kidato cha sita mwaka jana kwa mchepuo wa PCB na kupata ufaulu mkubwa. Ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeshindwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Position: Project Officer Location: Bukoba, Tanzania Salary: Competitive Contract type: Fixed Term Contract length: 3 Months Application Closing Date: 25 Jan 2020 Interview date: TBC Start date...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Based in Mbeya, Tanzania At Upfield our purpose is clear: we make people healthier and happier with nutritious and delicious, natural, plant-based products that are good for you, our planet; and...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
POST CATEGORY (S): TOURISM AND TRAVEL EMPLOYER: TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA) APPLICATION TIMELINE: 2020-01-17 2020-01-31 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Organizing and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
POST CATEGORY(S): SECURITY TOURISM AND TRAVEL EMPLOYER: TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA) APPLICATION TIMELINE: 2020-01-17 2020-01-31 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Conducting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Ideal person will train the Lake Zone Youth to improve market awareness and help them identify business opportunities. The candidate will work hand in hand with corporate volunteers who will...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Habari zenu wanaJamiiForum, Najitokeza hapa kuweka ombi langu la kusaidiwa kupata kazi....Ninaitaji kupata kazi yoyote halali,mahali popote.Mimi nipo DSM. Elimu yangu ni shahada ya education na...
0 Reactions
56 Replies
11K Views
Heshima kwenu wakuu. Nilikuta email kwenye Yahoo ikinijulisha kuwa wanahitajika wafanyakazi Dubai. Je, ni kweli hizi kazi au ni Blah Blah tu. Kama ni za kweli basi wadau changamkieni fursa...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Naombeni mnijuze kama mtu ni CPA(T) without experience ukiajiriwa kwenye hizi big4 auditing firms kima cha chini cha mshahara ni Tsh ngapi????
1 Reactions
92 Replies
31K Views
Habari wakuu? Napenda kufahamu mwajiriwa alietoka au kufukuzwa kazini akiwa chini ya mfuko wa PSSSF mwaka 2019 anaweza kupewa hela yake yote kwa mkupuo au atalipwa kidogo kidogo kwa kufuata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mfanyakazi wa Stationery SIFA: 1. Awe anajua kutumia Microsoft Office. 2. Internet na Emails. 3. Awe ni Mkazi wa Kibaha - Kongowe. 4. Mshahara maelewano. MAWASILIANO 0713- 971818
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wenye umri wa miaka 20 mwisho 30 .ambao ni wakazi wa Dar es salaam tu.Kwa maelezo zaidi na taarifa kamili tuwasiliane kwa namba whatssap 0736185398 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habarini wakuu, Niko natafuta kazi ya kilimo. Elimu yangu ni degree ya Kilimo. Kwa yeyote mwenye fursa za kilimo tafadhali naomba share na Mimi Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna jamaa mmoja nimekutana naye akaniambia eti Tanzania kuna watu wamesoma hadi kuwa profesa ila hawajaajiriwa na wanasota vijiweni huku wakiota joto ya jiwe. Eti kuna watu wana PhD nao wanaota...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wana JF, Hivi sasa kuna tatizo kubwa la ajira Mara nyingi nikiwaambia watu sina kazi, huwa wananishauri 1. Nijiajiri au 2. Niende kulima Sasa nimejaribu hilo namba.1. Kujiajiri naona...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Job Country: Tanzania Job Purpose You will be responsible for expanding Tigo Pesa market position with corporations and partners by driving the company’s overall growth strategy of bringing on...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Regional Sales Manager Kilosa Job Country: Tanzania Job Purpose Ensure achievement of sales objectives in this region and correct implementation of company strategy through effective coordination...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Back
Top Bottom