Wadau msaada wenu maisha yamenikomalia natamani nipate kazi kupitia hii elimu yanngu

jileezee

New Member
Nov 30, 2019
2
45
Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu lengo nahitaji msaada wenu wa kimawazo na vitendo.

Nianze kwa utambulisho mdogo
Me ni kijana ambae nina umri wa 21yrs.

Ambae pia natokea moja kati ya family duni.

Ambapo pia kiwango changu cha elimu ni kidogo.

Nimeanza kupambana toka nikiwa na umri wa miaka 17 huku wazee nao pia wakinisaidia kwa kadiri wawezavyo ila kila kukicha maisha yanzidi kuwa mabaya, nateseka moyo, akili mpaka viungo.

Sipigi hatua mbele; kazi nyiingi za mtaani nimefanya pia kama ni biashara ndogo ndogo nimefanya ila matokeo ni 0.

Mpaka sasa nina deni la mtu ananidai laki 5 ila hata pa kuzipata sina mpaka nayaandika haya nipo kwenye wakati mbaya haswaa.

Baba na mama nao hali ngumu kwa huu msimu hata mazao tulioyapanda hayajastawi, kwa sasa muhimili wa family alikuwa ni mama, yeye alikuwa na genge ambae pia kwa sasa ndo yuko hospital toka week iliopita ilikuwa yeye ndo ananunua unga na huduma kwa wadogo zangu ila nae afya hana tena, dah!

Msaada mkubwa ambao wana jamvi wenzangu nauhitaji ni huu:

Mpaka sasa nina taaluma/skills moja tu

Nina ujuzi wa kuongea na kuandika ARABIC LANGUAGE.

Sasa nauliza kama kuna yeyote humu anaweza nipatia connection ya kupata kazi kupitia haka kaelimu niliko nako ili nione kama nitaweza pambana na pia kama una msaada wowote juu yangu, nitashukuru aisee.

Kama kuna uwezekano wa kazi kupitia hio taaluma nitashukuru.

Mawasiliano yangu nayotumia ni +255626937785. Hii namba ipo WhatsApp tu au unaweza kuniPM.
 
jileezee

New Member
Nov 30, 2019
2
45
Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu lengo nahitaji msaada wenu wa kimawazo na vitendo

Nianze kwa utambulisho mdogo
Me Ni kijana ambae Nina umri wa 21yrs

Ambae pia natokea moja Kati ya family duni

Ambapo pia kiwango changu cha elimu ni kdg

Nimeanza kupambana toka nikiwa na umri wa miaka 17 huku wazee nao pia wakinisaidia kwa kadili wawezavyo ila kila kukicha maisha yanzidi kuwa mabaya natseke moyo akili mpk viungo sipigi hatua mbele almost kazi nyiingi za mtaani nimefanya pia km Ni biashara ndogo ndogo nimefanya ila matokeo Ni 0 mpk Sasa Nina deni la mtu ananidai laki 5 ila hata pa kuzipata Sina mpk nayaandika haya nipo kwenye wakat mbaya haswaa

Baba na mama nao hali ngum kwa huu msim hata mazao tulioyapanda hayajastawi kwa Sasa muhimili wa family Alikuwa ni mama yeye alikuwa na genge ambae pia kwa Sasa ndo yuko hospital toka week iliopita ilikuwa yeye ndo ananunua unga na huduma kwa wadogo zangu ila nae afya Hana tena dahh

Msaada mkubwa ambao wana jamvi wenzangu nauhitaji Ni huu

Mpka Sasa Nina taaluma/skills moja tuu

Nina UJUZI WA ARABIC LANGUAGE
Kuongea na kuandika

Sasa nauliza Kama kuna yyte humu anWeza nipatia connection ya kupata kazi kupitia haka ka elimu niliko nako ili nione Kama nitaweza pambana
Na pia Kama una msaada wowote juu yangu nitashkr aisee

Kama kuna uwezekano wa kazi kupitia hio taaluma nitashkr mawasiliano yangu nayotumia Ni +255626937785
Hi no iko WhatsApp tu au UNAWEZA ni PM
 
Chief M-255

Member
May 21, 2019
95
150
Mkuu humu utaambulia msaada wa mawazo na maarifa tu ukiyatumia utatoboa lakini msaada wa kifedha kiwastani itakuwa ngumu kuupata kwa wakati unaoutaka
N.b
Badili mfumo uone itakuwaje kuanzia mfumo wa mazingira,aina ya biashara na hata kazi pamoja na aina ya marafiki maana huenda ni moja ya vikwazo...
Jikuk
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu lengo nahitaji msaada wenu wa kimawazo na vitendo

Nianze kwa utambulisho mdogo
Me Ni kijana ambae Nina umri wa 21yrs

Ambae pia natokea moja Kati ya family duni

Ambapo pia kiwango changu cha elimu ni kdg

Nimeanza kupambana toka nikiwa na umri wa miaka 17 huku wazee nao pia wakinisaidia kwa kadili wawezavyo ila kila kukicha maisha yanzidi kuwa mabaya natseke moyo akili mpk viungo sipigi hatua mbele almost kazi nyiingi za mtaani nimefanya pia km Ni biashara ndogo ndogo nimefanya ila matokeo Ni 0 mpk Sasa Nina deni la mtu ananidai laki 5 ila hata pa kuzipata Sina mpk nayaandika haya nipo kwenye wakat mbaya haswaa

Baba na mama nao hali ngum kwa huu msim hata mazao tulioyapanda hayajastawi kwa Sasa muhimili wa family Alikuwa ni mama yeye alikuwa na genge ambae pia kwa Sasa ndo yuko hospital toka week iliopita ilikuwa yeye ndo ananunua unga na huduma kwa wadogo zangu ila nae afya Hana tena dahh

Msaada mkubwa ambao wana jamvi wenzangu nauhitaji Ni huu

Mpka Sasa Nina taaluma/skills moja tuu

Nina UJUZI WA ARABIC LANGUAGE
Kuongea na kuandika

Sasa nauliza Kama kuna yyte humu anWeza nipatia connection ya kupata kazi kupitia haka ka elimu niliko nako ili nione Kama nitaweza pambana
Na pia Kama una msaada wowote juu yangu nitashkr aisee

Kama kuna uwezekano wa kazi kupitia hio taaluma nitashkr mawasiliano yangu nayotumia Ni +255626937785
Hi no iko WhatsApp tu au UNAWEZA ni PM

Habari, pole sana kwa changamoto za maisha. Ujuzi wako katika lugha ya kiarabu ni wa ngazi gani? Unaanza, wa kati, au umebobea kiwango cha juu? kati ya 1 mpaka 10 ujuzi wako wa kuongea unaweza kuupa namba ngapi? Na wa kuandika unaweza kuupa namba ngapi?
Na mwisho kiwango kiwango chako cha elimu kinafika kidato cha nne?
 
Jinsonjohn

JF-Expert Member
Nov 19, 2019
439
250
Pole sana kuna watu wanamataizo zaidi yako ndugu yangu chakufanya nikutafuta biashara za kufanya kazi zimekua ngumu sana kupata ukiwa na mtaji wa 800,000 tu unapa baiskeli za mtumba pcs 12 unauza laki 120,0000 kila moja kama uko mkoani kunawatumiaji wengi utatoka kama uko miji bado unaweza kuuza basikeli za watoto mijini zinauzika sana ila kwa msada wa pesa sidhani kila mtu anamatatizo ya pesa.
 
Jibala

JF-Expert Member
Jun 13, 2010
509
500
Vipi cijaelewa ujuzi wa arabic languaje fafanua kidogo, nauliupata vipi huo ujuzi.
 
essy sensei

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
246
500
Nakushauri kazibe nafasi ya mama aliyokuwa anaifanya, sababu kwa maelezo yako mama alikuwa na genge na ndio alikuwa anaendesha familia ila kwa sasa anaumwa yupo hosp,
Sasa kwa nini wewe usiende kuendelea na genge lililokuwa linaendesha maisha hapo home?
Maisha yamebana kila kona, tulia gengeni dogo.
Alamsiki.
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,359
2,000
Tayari mna genge..
Unaozoefu na arabic language
Ila huna elimu, ulipataje kujifunza hii lugha?
Unakopesheka mpaka laki 5...
Baba yako anafanya nini?

Kuna maswali mengi sana ila cha kukushauri ondoka hapo ulipo, iache familia yako nenda mbali katafute hawatakufa utapatabna kutuma nyumbani
 
king online

Member
Mar 30, 2018
34
95
Wakuu nawashukr saana kwa ushaur ila nilipata changamoto ambayo ilinipelekea nicjib kwa wakat kwakuw wakat nataka andika uzi nilikosa log in detail zangu huo wakat ckuwa na pc coz huwa natumia web web kuperuz jf I'd mpya nilioifungua kwwnye cm admin walichelewa k prove mpk leo bado nimeamua kwakuwa tyr nimepata details za acc nyingn now nitumie hiii kuwajibu walioniuliza maswali ya msingi n kuwashukr walionipongeza
Screenshot_20191203-162918.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom