Fundi mahiri wa kutengeneza computer anahitajika Moshi Mjini

debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
562
Reaction score
860
Ndugu zangu habari za siku poleni sana kwa majukumu ya kila siku. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja

Nimefungua biashara ya uzaji wa accessory za computer yaani device zote zinazo husiana na computer kama vile chaji za computer, power cable,external hard disk, modem, wireless adapter yaan vitu vingi kwa ujumla wake

kikubwa ni hapa nilipo kunamzunguko mkubwa sana wa wateja kwasababu nisehemu imepakana na vyuo vikuu mbalimbali pamoja na college sasa nitaji fundi wa computer ili tufanye nae kazi maana nataka nianzishe na hiyo huduma sababu wanafunzi wengi wahitaji sana hiyo huduma

kwhiyo aliye serious na anaweza kweli hiyo kazi tafadhali ani PM tufanye kazi au anitafute kwa namba 0769067063 .Napatikana mkoa wa kilimanjaro Moshi Mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjamaa tunafanya naye kazi ni mtaalamu wa kiwango ingekuwa una kazi ya mara moja ningekupa no. Yake. Ana ofisi yake DSM na ni mwajiriwa hatakubali kirahisi kufanya kazi na mtu sasa.
 
Ndugu zangu habari za siku poleni sana kwa majukumu ya kila siku. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja

Nimefungua biashara ya uzaji wa accessory za computer yaani device zote zinazo husiana na computer kama vile chaji za computer, power cable,external hard disk, modem, wireless adapter yaan vitu vingi kwa ujumla wake

kikubwa ni hapa nilipo kunamzunguko mkubwa sana wa wateja kwasababu nisehemu imepakana na vyuo vikuu mbalimbali pamoja na college sasa nitaji fundi wa computer ili tufanye nae kazi maana nataka nianzishe na hiyo huduma sababu wanafunzi wengi wahitaji sana hiyo huduma

kwhiyo aliye serious na anaweza kweli hiyo kazi tafadhali ani PM tufanye kazi au anitafute kwa namba 0769067063 .Napatikana mkoa wa kilimanjaro Moshi Mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo gani hujataja hata vyuo vyenyewe. Mi fundi pia lakini sio maiko maana wewe hutaki kuwa fundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom