Car and Spear dealer
Member
- Nov 21, 2019
- 83
- 44
Habari wana JF,
Hivi sasa kuna tatizo kubwa la ajira
Mara nyingi nikiwaambia watu sina kazi, huwa wananishauri
1. Nijiajiri au 2. Niende kulima
Sasa nimejaribu hilo namba.1. Kujiajiri naona linanichenga na muda unaenda
Sasa nataka nifanye kwa moyo mmoja hilo la kulima
Naomba kulileta kwenu wana zengo hili kwa yeyote mwenye connection ya kuweza kuni connect kwenda kulima mazao ya mbogamboga nipo tayari kwa hilo
Kwa mfumo either wa kusimamia shamba au hata kulima kwa mkataba nipo tayari
Jamani tuunganishane hivi sasa ajira maofisini ni chache na hazipo kabisa
Napatikana Dar es Salaam
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app