Nahitaji kijana kwa ajili ya kuuza duka la pembejeo za kilimo na mifugo (Agrovet).
Qualifications: Certificate of Animal Health and Production.
Sehemu ya kazi. Boko Timiza - Tumbi Kibaha, mkoa wa...
Vijana pigeni kura zenu kwa madiwani na wabunge wa upinzani alafu wapinzani wakishinda kuna kuwa na mkataba wa kudumu kuhusu ajira kwa vijana na halmashauri husika.
1. Tutatoa tenda ya kusuppy...
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa Awe mtu mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi naishi na mke na watoto wawili.
Awe anaishi mkoa wa Morogoro.
Mshahara...
Affluence Training Ltd inatangaza nafasi 1 ya kazi ya Office Messenger- Dar Es Salaam kwa mkataba wa muda maalum. SIFA: Awe kijana wa Kiume, anayefahamu baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam...
Shelter Programme Development Manager at Norwegian Refugee Council
NRC Tanzania is looking for Shelter Programme Development Manager base at Kibondo, Kigoma
The purpose of the Programme...
Habari wadau. Nina swali kichwani bado sijalipatia jawabu, naombeni mchago wenu.
Zipi ni blog 10 safi Tanzania ambazo zipo updated sana kila siku na zinatoa matangazo ya ajira ya uhakika?
Habari wana JF
Ebu tujadilini faida na hasara iwapo serikali itaamua kwamba ajira zote nchini mpaka zile za kampuni binafsi ziwe zinaratibiwa na Wizara ya Ajira,yaani kampuni zikitaka kuajiri...
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo na kufanikiwa kupata diploma ya Clinical Medicine natafuta kazi mahali popote Tanzania nina uzoefu kidogo chini ya miezi 6. Kwasasa nipo dar-es-salaam...
OVERVIEW
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer...
Wakuu habari za mihangaiko.
Nipo na mdogo wangu ana miaka 21 anaishi Mbeya anahitaji kazi hata za ndani. Yupo serious anaishi Mbeya Rujewa kuhusu nauli itabidi ulipe akifika kwako halafu kama...
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.
Awe na stamina ya kudumu...
Habari ndugu zangu,
Naombeni msaada wa kazi yoyote ile iliyo halali. Nipo Dar. Elimu yangu ni darasa la 7.
Ujuzi nilio nao ni fundi rangi na skimming uzoefu wa miaka 6. Na nipo tayari kuajiriwa...
Hi wadau,
Nina uzoefu wa kiasi changu kwenye kaz za photography na videography. Nafanya pia editing na niko vyema kwenye setting za Kamera.
Nishafanya kazi kwenye media house moja kubwa na...
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi – Autonomous Agency under the Ministry of Work, Communication and Transport established on July 1st 2000 and is responsible for the day-to-day...
Position: Facilities Officer
Ref: TSOSJ/ HR/BO/PR/FT/01/20
Location: Moshono Business Office, Arusha, TANZANIA.
Job Summary
The School of St Jude is an educational institution, entirely funded...
ActionAid is an international anti-poverty agency working in over 47 countries, taking sides with People living in poverty and exclusion to end poverty and injustice together.
Whilst all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.