Muuzaji wa Agrovet anahitajika Pwani

Muuzaji wa Agrovet anahitajika Pwani

de pedezyee

Senior Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
105
Reaction score
109
Nahitaji kijana kwa ajili ya kuuza duka la pembejeo za kilimo na mifugo (Agrovet).
Qualifications: Certificate of Animal Health and Production.

Sehemu ya kazi. Boko Timiza - Tumbi Kibaha, mkoa wa Pwani.
Tuma details zako kwa WhatsApp no. 0766006128
Au Email. dicksonndama@yahoo.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni vizuri ungempata mtu wenye General Agriculture kwasababu anakuwa na 60% professional ya kilimo na 40% ya mifugo..
Huyo wa Animal health and production hafahamu lolote kuhusu kilimo..
Hvyo itamletea shida sana kwenye uuzaji na maelekezo kwa wateja kuhusu viuatilifu mbalimbali.
Ila kama umebase sana kwenye dawa za mifugo ni sawa
 
Nahitaji zaidi kwaajili ya mifugo. Kutakua na wauzaji wawili

Back
Top Bottom