Macchambal
Member
- Jan 22, 2020
- 14
- 14
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo na kufanikiwa kupata diploma ya Clinical Medicine natafuta kazi mahali popote Tanzania nina uzoefu kidogo chini ya miezi 6. Kwasasa nipo dar-es-salaam, Mawasilino; 0744239412.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app