Natafuta kazi ya Photo or Video Graphy & Editing

Natafuta kazi ya Photo or Video Graphy & Editing

Joined
Aug 28, 2017
Posts
72
Reaction score
98
Hi wadau,

Nina uzoefu wa kiasi changu kwenye kaz za photography na videography. Nafanya pia editing na niko vyema kwenye setting za Kamera.

Nishafanya kazi kwenye media house moja kubwa na kwenye online tv kubwa hapa Tz kama content creator na videographer..

Kama kuna kaz tafadhal tujulishane wadau.

Ahsante

--------------
Baadi ya kazi nilizowahi kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kitu umesomea wapi?
Hauna haja ya kujiajiri hapo

Unaweza kuwa hata milionea kabisa kwa hii .Taaluma naomba unielekeze uliposomea na mimi nikasome hii natapenda nifahamu ila sehemu ya kutobolea ndio sina mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom