Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!
Tukienda halmashauri...
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe...
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa.
Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni...
Mkono mtupu haulambwi wakuu
Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne.
Location Dar es salaam
Kazi yoyote.
Elimu: shahada.
Ahsante
Ndugu zangu wana JF. Mambo vipi?
Mimi ni Mhitimu wa Chuo miaka mitatu nyuma, baada ya kuhitimu niliamua kurudi mkoani kwetu kupampana ila nikatoka kapa. Kwa hiyo nimeamua kurudi Dar es Salaam...
Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara.
Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la...
Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki
0624254690
Kazi ni kesho kuchimba msingi!
Malipo 30,000
Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana.
Eneo ni karibu na...
Changamoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, imekuwa tatizo kubwa sana kwa watumishi hasa walimu kusubiri kupitishiwa malipo mbalimbali katika Idara za Elimu, Afya.
Mfano...
Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini..
Sasa...
Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld
kwa yeyote atakayeweza...
Mimi ni muajiriwa wa VETA intake ya mwezi wa 9 Mwaka 2025, tokea nimeajiriwa sasa ni miezi mitano lakini pesa ya kujikimu mimi na wenzangu hatujapata na hatujui ni lini tutaipata.
Hii inatupa...
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya wilaya ya CHATO upande wa Sekondari tangu Mwaka 2025 Mwezi wa Pili hatujalipwa pesa ya kujikimu, wenzetu wa Shule ya Msingi walilipwa kiwango kidogo nje ya...
Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza.
Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika...
Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
Hebu na sisi ajira mpya wa Mbeya jiji tupige kelele huenda tukafikiwa kama wa Mwanza, huku kuna ajira mpya ualimu wamefikisha mwaka na wengine tunakaribia kumaliza mwaka wa kwanza kazini ila pesa...
Kero yangu naipeleka kwa Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training kuanzia mwezi wa 10, 2025.
Nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training sasa imepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.