Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu...
Ni Dr Emanuel nchimbi pekee aliyepewa ubalozi na Hayati Magufuli kutoka kambinya Lowasa lakini walio salia wote walinyooshwa na nchimbi kilichomuokoa ni UTISS WAKE TU.
Kambi ya Akina Hayati...
Wakuu nimekwama kweli kweli mtaani kugumu hali mbaya kwa mwenye connection ya kazi iwe sheli au yeyote nzuri naombeni elimu yangu form 4 nitakupa laki na nusu kama ahsante 🙏🙏🙏
Mimi nimeajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Tangu mwezi wa pili 2025 lakini hatujalipwa mpaka sasa hivi pesa yetu ya kujikimu na mishahara pia imekuwa changamoto.
Mfano mtu ameajiriwa mwezi...
Sisi Ajira mpya Morogoro DC mpaka leo hatujalipwa hela za kujikimu na tunamaliza mwaka kazini pamoja na maelekezo ya waziri TAMISEMI, bado maafisa Utumishi wamegoma.
Naomba mtupazie sauti ifike...
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga aliwapa kazi walimu kuandikisha kaya na wanakaya katika makazi bila malipo yoyote kwa visingizio kuwa mikataba yao ya ajira inasema watafanya majukumu...
Hey Wana JF
Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering.
Awe na weledi katika masuala haya.
Blogs,
Apps,
Logos designs,
Wallpapers,
Photography,
Broadcasting...
Nilikuwa na Fanya kazi kama Mwalimu wa Somo la Kemia na Biolojia Shule ya Sekondari Uroki, Kata ya Machame Uroki, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Habar wapendwa
Kuna huyu dada angu ana miaka 25
Elimu kidato cha one
Amesomea utalii ngazi ya certificate
Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato
Anapatikana moshi...
Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf?
Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard...
Halmashauri ya Nsimbo Mkoa Katavi, fedha ya kujikimu kwa Walimu wa Sekondari hatujapata tangu Mwaka 2025, cha kushangaza Walimu wenzetu wa shule za msingi walipewa.
Tumefatilia majibu ni kwamba...
Mimi ni mlemavu wa viungo, sina mkono mmoja, Mwaka 2025 nimefanya usaili na nikapata alama 55 lakini sikuchaguliwa. Sasa nataka kuelewa labda kuna kitu sikuambatanisha, kwenye account ya...
TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa.
Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya...
Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.
Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna...
Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y.
Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa...
Sisi wafanyakazi wa zamani wa Kampuni Power Placers Ltd. ambayo ni kampuni iliyokuwa ikiajiri kwa ajili ya Wafanyakazi kufanya kazi chini ya Kampuni ya Yapi Merkezi kwenye mradi wa ujenzi wa reli...
Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu.
Imekuwa kama mpira...
Ventilation Technician at Barrick January 2026
Ventilation Technician (01) Vacancy
Position Description
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit a Ventilation Technician to join and grow our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.