DORIS MOLLEL FOUNDATION
Organization Overview
The Doris Mollel Foundation (DMF) is a Non-Profit Organization registered under the Laws of Tanzania (Registration No. 00NGO/R2/00079), dedicated to...
Position Overview
Job Title: Receptionist/Building Manager
Location: Dar es Salaam
Qualifications: Diploma in Business Administration or related field
Key Responsibilities
Reception Duties...
INTERN (1 Position(s))
Job Description
Job Summary
Ifakara Health Institute is seeking a Biostatistician Intern who will receive training and become part of the team that is involved in...
Habari wadau wa JF,
Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
Habari wana jamii 🙏.
Natafuta kazi ya Dental Therapist. Nimemaliza masomo yangu Agosti 2025 na kwa sasa nipo Iringa, lakini niko tayari kufanya kazi popote.
📞0653711756
Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua...
Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za...
Tamisemi tokea Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka Leo hii Kuna account ukiingia unaambiwa user account is locked
Ukiwapigia simu na wao hawaelew tena mmoja kaniambia...
Halmashauri ya wilaya ya Mbinga kumekuwa na tabia ya kuchekewesha malipo ya fedha za likizo na wakati mwingine kutolipwa kabisa kwa baadhi ya watumishi ili hali ya kuwa halmashauri nyingine...
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu kuihusu Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Kumekuwa na tabia ya kuchelewa kufanyia kazi maombi yanayowasilishwa...
Kuna Viwanda hawajaongeza Mshahara hata kidogo na haioneshi kama kuna dalili za Kuongeza. Je, Taarifa iliyotolewa awali kuna baadhi ya Sekta haihisiki nazo?
Mwezi umeanza kuna Watu wanalipwa...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional...
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika...
Tunapenda kuwasilisha changamoto ambazo watumishi wapya katika Wilaya ya Buhigwe tumekuwa tukikabiliana nazo kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi:
1. Uingizaji Usio Sahihi wa Taarifa za...
Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy.
Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na...
Je, unahitaji huduma yoyote ya usafi na hujui utaanzaje au utaanzia wapi?
Je, unajiuliza ni nani atasafisha eneo lako, ofisi yako au nyumba mpya uliyojenga?
Jibu ni kampuni ya Amicable Group...
Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?
Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.