π¨ TANGAZO LA KAZI β SALES PERSON (2 POSTS) π¨
Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo:
β Awe na Degree au Diploma
β Awe smart na mwenye...
Aisee kuna ukweli wowote unaousisha kuajiriwa na matumizi ya ushirikina.
Je kuna Mtu ameshapata ajira au kupata Cheo au kulinda ajira yake Kwa matumizi ya ndagu.
Tuturirike Hapa wanajamii
Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA Kwa vyeo vya chini tuna hari ngumu saana tunaomba Jamii forums mtusaidie kupaza sauti kwenye platform zenu zote ili kero hii iweze...
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za...
PROGRAMME OFFICER β ENVIRONMENTAL EXPERT
Organization: African Transformation on Environmental and Health Action (ATEHA).
Location: Arusha, Tanzania.
Application Deadline: 5th April 2026...
Jamii ambayo ina migogoro na waajiri wao Mkoani Katavi inashindwa kupata haki zao kwa wakati kwani Ofisi za Idara ya KAZI (CMA) haina msuluhishi wa migogoro hiyo katika mkoa husika.
Kinachotokea...
Vibarua katika Kampuni ya uchimbaji madini ya Ruby International iliyopo Mkoani Morogoro, Wilayani Ulanga wanalalamika kuwa jinsi wanavyosachiwa baada ya kazi ni udhalilishaji.
Maana...
Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal.
Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA...
Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi.
Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa...
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu...
Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.
Na pesa za kujikimu pia changamoto...
Habari zenu wana jf
Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu
Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru...
Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe.
Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana...
Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo.
Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa...
Mtihani unafanyika kwa njia ya kidigitali, cha muhimu unatakiwa ufike kwenye kituo utakachopangiwa siku ya interview mapema kabla ya saa 1 asuhuhi maana huwa kuna heka heka za hapa na pale...
Mimi ni ajira mpya mwezi wa 10 Halmashauri ya Mbogwe, nilikopa kupitia ESS mkopo wa Shilingi Milioni 10 kwa miaka 8 kufanyia biashara ya madini bahati mbaya nimefeli.
Kinachoniumiza kwa sasa...