Y & M Express LTD is looking for a professional individual for Office Receptionists to enhance its level of effectiveness and efficient delivery on its daily business operations. Our office is...
Mimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni...
Habari wana JF,
Naomba vijana wawili waliomaliza chuo na wako mtaani tu tuwasiliane,Vigezo vikubwa
wawepo Dodoma
wanaume(preferred)
LENGO
- Ninahitaji watu wakunisaidia katika shughuli za Real...
Wadau habari zenu!!
Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!!
Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
Habari za muda huu wanajamvi Naitwa Christopher Haule natokea Morogoro kwa sasa Nipo Dar nimemaliza Diploma ya Clinical medicine (Utabibu) Mkoani Ruvuma mwaka 2020 natafuta hospitali yoyote ya...
JOB VACANCIES
The best investment you can make is in yourself. With Exim Bank, you'll own your future. Reach your potential through a spectrum of employment opportunities as well as training...
Habari,
Natafuta kijana mwenye umri wa above 18 years mwenye nia na biashara na ujuzi na pia moyo wa kujifunza zaidi. Nina saloon nahitaji nianze upakaji rangi wa kucha naomba atakaehitaji...
POSITION: Head of Internal Audit
Overview
Yetu Microfinance Bank PLC is a fast-growing Strategic bank for lower end market of the financial sector. The bank listed with Dar es Salaam Stock...
Jina: Alfred Yohanis Msunza
Umri: Miaka 23
Natafuta kazi ya ualimu wa hesabu na uchumi(mathematics and economics), yeyote mwenye uhitaji naomba msaada.
Elimu yangu ni shahada nimemaliza chuo...
Habari zenu, naomba mwenye CV template au sample ya kizungu i mean nzuri yenye kuvutia na nakshi nakshi flani rangi rangi anitumie kwenye email yangu. I think i need to update my cv ready for the...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba..
Aliye tayari tafadhari...
"" Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010."" Naomba...
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,
Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.
Kwa sasa natafuta sehemu ya ku...
JOB TITLE: Accountant
Location: Mwanza, Tanzania
The overall duties of the accountant are to ensure proper and efficient management of inflow and outflow as well as of efficient accountability...
Hello JF,
Kwanza poleni na msiba(may he RIP)
Leo ningependa kujua apart from kilimo ambacho huwa mnasema humu,Je ni maeneo gani mengine ambayo mtu anaweza kujiajiri?
Hii itatoa mwanga sio tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.