Vijana wawili wasio na ajira waliopo Dodoma tuwasiliane

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
Habari wana JF,

Naomba vijana wawili waliomaliza chuo na wako mtaani tu tuwasiliane,Vigezo vikubwa
  • wawepo Dodoma
  • wanaume(preferred)

LENGO
- Ninahitaji watu wakunisaidia katika shughuli za Real Estate, hivyo nitakaoona wako passion driven, hard workers+smart nitashiriki nao katika shughuli zangu.
Mengi zaidi nitaelezea kwa atakayenitafuta
mawasiliano
0622111186

MREJESHO
-Asanteni sana nimefanikiwa tayari.Ni kweli nimepokea simu nyingi mno,asante kwa wote mlionitafuta nisingeweza kuwachagua wote naamini mtapata sehemu nyingine
 
Sio Dodoma tu hata iringa wapo wengi tuu kama una deel let' s dililaizing
 
Naonaga real estate nyingi zinahitaj vidada vya kwenda site vinapiga picha ya kiwanja huku vikikinadi kwa wateja kwa kubinua kiuno, lips, wigi n.k.

Utasikia kiwanja hiki ni kizuri sana pana umeme, maji, barabara, shule iko jirani na huduma zingine zote za kijamii.
Hahaa naviangaliagaaa nasema haya bwana
 
Habari wana JF
Naomba vijana wawili waliomaliza chuo na wako mtaani tu tuwasiliane,Vigezo vikubwa
-wawepo Dodoma
-wanaume(preferred)

LENGO
- Ninahitaji watu wakunisaidia katika shughuli za Real Estate,hivyo nitakaoona wako passion driven,hard workers+smart nitashiriki nao katika shughuli zangu
Mengi zaidi nitaelezea kwa atakayenitafuta
mawasiliano
0622111186
Ngoja nikutafute mapema
 
Hongera kwa hilo boss.
Mimi pia nahitaji mtu mmoja aliye na uzoefu katika marketing.
Eneo la kazi ni Dsm
kazi itafanyika katika kampuni ya usafi wa mazingira hivyo kazi yake ni kutafuta tenda kwenye ofisi mbalimbali hasa makampuni binafsi na taasisi za serikali
Unaye hitaji hiyo nafasi na unahisi unaweza hiyo Kazi nitafute kwa number 0748062691.
 
Ungeandikia thread ionekane chap
 
Habari wana JF,

Naomba vijana wawili waliomaliza chuo na wako mtaani tu tuwasiliane,Vigezo vikubwa
  • wawepo Dodoma
  • wanaume(preferred)

LENGO
- Ninahitaji watu wakunisaidia katika shughuli za Real Estate, hivyo nitakaoona wako passion driven, hard workers+smart nitashiriki nao katika shughuli zangu.
Mengi zaidi nitaelezea kwa atakayenitafuta
mawasiliano
0622111186

MREJESHO
-Asanteni sana nimefanikiwa tayari.Ni kweli nimepokea simu nyingi mno,asante kwa wote mlionitafuta nisingeweza kuwachagua wote naamini mtapata sehemu nyingine
Nice mkuu
 
Hongera kwa hilo boss.
Mimi pia nahitaji mtu mmoja aliye na uzoefu katika marketing.
Eneo la kazi ni Dsm
kazi itafanyika katika kampuni ya usafi wa mazingira hivyo kazi yake ni kutafuta tenda kwenye ofisi mbalimbali hasa makampuni binafsi na taasisi za serikali
Unaye hitaji hiyo nafasi na unahisi unaweza hiyo Kazi nitafute kwa number 0748062691.
Hii ni commission based.

je utam-Fund pesa ya kusavei kutafuta Customers au atatumia pesa yake ya mfukoni mpaka tapopata mteja ndio u-calculate commission yake.

Kupata wateja Costiful in term of time and money...nani atahusika na hii money.
 
Back
Top Bottom