Naomba mwenye CV ya kisasa tuwasiliane...nahiitaji sana

happyxxx

Member
Nov 14, 2020
19
75
Habari zenu, naomba mwenye CV template au sample ya kizungu i mean nzuri yenye kuvutia na nakshi nakshi flani rangi rangi anitumie kwenye email yangu. I think i need to update my cv ready for the coming year.

nitumie kwenye email yangu na iwe mfumo wa word.

happynyonzo@gmail.com

NB; Nitatoa zawadi kwa atakaye nipa msaada.
 
toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
2,720
2,000

Okay watakuja, yangu haina rangi rangi ila ni hizo hizo za kizungu
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,550
2,000
Habari zenu, naomba mwenye CV template au sample ya kizungu i mean nzuri yenye kuvutia na nakshi nakshi flani rangi rangi anitumie kwenye email yangu. I think i need to update my cv ready for the coming year.

nitumie kwenye email yangu na iwe mfumo wa word.

happynyonzo@gmail.com

NB; Nitatoa zawadi kwa atakaye nipa msaada.
USHAURI: Achana na manjonjo kwenye CV.Waajiri hawadanganyiki na cv za copy paste,wanazijua hizo ,hivyo inapunguza uwezekano wa kuwa shortlisted.uta-smell fishy mapema mno.sababu cv inasomwa kwa kuconect facts,siyo urembo urembo wewe kama una experience yako iweke wazi pale ili mtu ajue wewe unaweza kuifanyia nini kampuni.

Labda kama wewe ni mwalimu hivyo unataka CV ya kufundishia
 
mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,169
2,000
Cv mbona zipo google nyingi tu kama unae akili unachagua za professional yako

Hakikisha Cv hiyo lazima iwe attouched scanned passport size
Hata kama sio ya rangi ukiwa na passport namba hakikisha inakiwa metioned

Pia hakikisha isiwe kubwa sana 1MB

Good luck
 
King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,518
2,000
images (3).png

Ukivutiwa na hyo nipe details zako nikutengenezee.

NB:- naitaka hyo zawadi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom