Natafuta kazi niko Dar. Nimejaribu kujiajiri nimeshindwa

GRDT

Member
Jun 6, 2021
14
9
Habari zenu wapendwa,
Mimi ni kijana mwanaume 26 years

ELIMU YANGU: FORM 6
MS OFFICE COMPUTER SKILLS
NAONGEA KISWAHILI NA ENGLISH KWA UFASAHA

NAWEZA NINI?
1. Kukuendesha Nina driving licence D
2. Messenger(kuniagiza unapotaka)
3. kusimamia(supervisor )
4. kukuuzia duka
5. kufundisha olevel na advance (physics,chemistry, biology maths(olevel))
6. walk in homehelper(msaidizi wa majumbani)
7. packing na stock taking ya bidhaa
8. E.t.c cha msingi ni kazi halali tu

Niko available na weekends, full time
Kujiajiri nimejaribu imeshindikana naomba mwenye kuguswa ani PM tuyajenge nimfanyie kazi kwa bidii yote

MBARIKIWE!!
 
Nadhani mnaotafuta vibarua mngependelea kuweka namba zenu maana si wote ambao ni registered Members wanaopita humu. Ni ushauri tu.
 
Habari zenu wapendwa,
Mimi ni kijana mwanaume 26 years

ELIMU YANGU: FORM 6
MS OFFICE COMPUTER SKILLS
NAONGEA KISWAHILI NA ENGLISH KWA UFASAHA

NAWEZA NINI?
1. Kukuendesha Nina driving licence D
2. Messenger(kuniagiza unapotaka)
3. kusimamia(supervisor )
4. kukuuzia duka
5. kufundisha olevel na advance (physics,chemistry, biology maths(olevel))
6. walk in homehelper(msaidizi wa majumbani)
7. packing na stock taking ya bidhaa
8. E.t.c cha msingi ni kazi halali tu

Niko available na weekends, full time
Kujiajiri nimejaribu imeshindikana naomba mwenye kuguswa ani PM tuyajenge nimfanyie kazi kwa bidii yote

MBARIKIWE

kazi ipo ila hamna mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom