Habari wakuu.Nimejaribu kutafuta hii scale salary ya PRSS 1.1 ila nimeshindwa kupata jibu kwenye thread zilizopita.Kwa anayejua tafadhali naomba anisaidie inaanzia ngapi.Natanguliza shukrani zangu.
Habari wanajamvi,
Naomba mwenye kufahamu juu ya hizi online jobs, unafanya kazi na kulipwa online. Je kuna ukweli wowote juu ya hili?
Kwa maelezo yao wanadai unafanya kwa niaba ya kampuni...
Wakuu kikubwa n kutaka kufaham kama kuna manufaa kwa mtu atakaeomba kujitolea kada ya afya kuanzia hivi sasa ama vipi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Binafsi ni miongoni mwa wahitimu wa shahada ya elimu wa mwaka 2017. Katika kipindi chote Cha kusotea ajira nilijikita kwenye kilimo champunga, huku nikitafuta kazi yakufindisha bila mafanikio...
Habari Za MAJUKUMU wanaJF,
Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent).
Elimu yangu KIDATO CHA...
Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse!
jina langu naitwa James...
Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania.
Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua...
JOB OPPORTUNITY: SUA-APOPO RODENT RESEARCH PROJECT (13 POSTS)
Applicants are invited from qualified Tanzanians to fill vacant positions at SUA-APOPO RODENT RESEARCH PROJECT.
1.0. POSITION...
Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM
Elimu
Ualimu wa chemistry & Biology (SUA)
Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga...
Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote.
Mwenye connection ya ajira...
View Vacancy - Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover
The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge...
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi...
Rafiki yangu anahitaji kazi katika kiwanda cha aina yoyote kilichopo Arusha mwenye connection amsaidie, akimfanikishia ipo laki 100000/cash akifanikisha kupata kazi kiwandani,
Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography.
Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa...
Habarini wanajukwaa,hapo awali niliweka thread yenye kuonesha nia ya kubadili kituo cha kazi kwa fani hii hii ya uhasibu kwakuwa mahala nilipo mkataba unakaribia kuisha,kuna bwana mmoja humu...
Strategic Information Director
Job no: 495560
Position type: Regular Full-Time
Location: Tanzania - Dar es salaam
Division/Equivalent: Tanzania | School/Unit: Strategic Information / Monitoring &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.