Naombeni kazi au mwenye connection ya kazi ualimu na vibarua vya ujenzi (saidia fundi)

lugabussa

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
559
521
Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM
Elimu
Ualimu wa chemistry & Biology (SUA)
Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga blandering

Kazi ninazohitaji
-Kufundisha masomo ya kemia na bioloji kwa shule za private jamani ata part time
-Kutengeneza stuli,meza na kupiga blandering
-Vibarua vya ujenzi

Shukrani Sana#Tupeane michongo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom