Kazi ya stationery na music library!

Kazi ya stationery na music library!

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,193
Habari wakuu. niko kwenye uhitaji wa msichana mwenye ujuzi wa kompyuta ili anisaidie katika goli langu jipya. biashara ipo. mshahara 100k chakula juu yake. malazi yapo. naomba msaada wenu.
umri asizidi 22. awe pia mwaminifu. Asanteni sana!
anichek PM au simu 0685862699.
NATANGULIZA SHUKURANI
 
ENEO NI MOROGORO
 
100K Laki arafu kula juu yake ???na unasema biashara ipo ???wewe huna tofauti na kanjibai muhindi nikushauri tu kitu kimoja pandisha mshahara mpaka 200K at least...
 
kusema biashara ipo haimaansh nauza lak kwa siku bro...
 
Mshahara 100,000/- kwa mwezi...
Kwa siku ni sawa na shilingi 3,300
Chakula kwa siku-mchana na usiku tufanye shilingi 3,000. (Mchana 1500,usiku 1500) hapo tuseme hakunywa chai kabisa.
3,000×30=90,000/-

Mshahara 100,000/- kwa mwezi
Matumizi 90,000/- kwa mwezi
----------------
10,000/- Take home
__________

•Asiweke vocha
•Asinunue pedi
•Asinywe maji
•Asipate Emergency yoyote

Jamani ndiyo hatuna kazi lakini msitumie mwanya huo kufanya 'Humiliation' aisee.
Bora mtu mpe hiyo laki moja lakini mhakikishie Chakula na Malazi tu angalau ata save.

Anyways,shukrani kwa kutangaza kazi mkuu!
 
Atembee kwa mguu kwenda na kurudi ofisini kama ofisi ipo mbali na makazi

Sent from my SM-A310N0 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom