Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Waungwana heshima mbele, Nilitaka kujuzwa jambo, hivi 'list of references' ni nini? Context ya kuuliza hilo swali ni kwamba kuna tenda/project flani tuna-apply, sasa client anataka tupeleke...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za wakati huu, binti wa kazi za nyumbani anahitajika, Kazi iko Nairobi, Kenya. Sifa za mtu anayehitajika, awe na miaka 18 hadi 25. Awe na kitambulisho yeyote, awe anajua kusoma ba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu, Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti ya uber na bolt. Nimejaribu kufanya mchakato wa kujiunga ila gari yangu imekosa baadhi ya vigezo haswa umri wa gari na ukubwa wa engine ila...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya sanaa na ubunifu (Bachelor of arts in arts and design). Ambayo imebeba màmbo kama; graphics...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Volunteering Jobs at DEWAHEJU Mbeya 2021 Development Way over Health and Justice Organization (DEWAHEJU) fellows recognize and honor the efforts of the government and other stakeholders in...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
APHFTA is an umbrella organization of the private (self-sustaining) health sector in Tanzania established in 1994, as a Non-State organization. It serves as a public forum for the private health...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Overview SOS Children's Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to Sos Children's Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania) SIFA ZA MWOMBAJI Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Audit Associate POSITION TITLE: Audit Associate REPORTS TO: Audit Senior LOCATION: Plot No. 372, Oyster-pearl Galleria building, Ground Floor Unit No. G007, Chole road, Oysterbay - Masaki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kichwa kinajieleza hapo wakuu!! ORODHA hiyo nimeipekua kwenye peji ya TAMISEMI sijaipata kabisà, tafadhali kama yupo aliyeisevu mahali anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga. Kazi za awali nilizo wahi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa. Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
MONITORING. EVALUATION AND LEARNING (MEL) OFFICER Colleges and Institutes Canada (CICan) invites eligible candidates to indicate their interest in employment as a Monitoring, Evaluation and...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Overview Petra Diamonds is a leading independent diamond mining group and an increasingly important supplier of rough diamonds to the international market. The Williamson Diamond Mine is situated...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Overview SOS Children's Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to Sos Children's Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Organization profile: IMA World Health (IMA) is a member of Corus International, a consortium of organizations working together to deliver holistic, durable solutions to the interconnected...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Back
Top Bottom