'List of references' ndio nini? tujuzane. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'List of references' ndio nini? tujuzane.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Abdulhalim, Feb 11, 2012.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Waungwana heshima mbele,

  Nilitaka kujuzwa jambo, hivi 'list of references' ni nini?

  Context ya kuuliza hilo swali ni kwamba kuna tenda/project flani tuna-apply, sasa client anataka tupeleke cover letter, CVs na hiyo 'list of references', my guess labda inamaanisha 'referees', sasa kwene ishu serious guesswork haitakiwi. Hivyo nikaona badala ya jukwaa la lugha au elimu, hapa kwene jukwaa la tenda na kazi huenda suala hili lita-fit zaidi.

  Natanguliza shukran.

  NB: Please, time is money, kaa huna input usijaze uzi.
   
 2. M

  Man United Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio,ni referees.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahaha aiseee pamoja na Onyo Ngoja nijaze kitu hapa!

  List of references is bibliography
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  umesomeka !
   
 5. M

  Man United Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa msaada zaidi ni mafera wako kuanzia watatu na kuendelea pamoja na details zao na uwe unafanya nao kazi sasa au ulikwishwa kufanya nao kazi na hii inategemeana na urefu wa cv yako.
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,415
  Likes Received: 595
  Trophy Points: 280
  List of reference means some similar works you have done. For example if I am tendering to audit an NGOs, I will list all or major NGOs clients that I have have audited previously.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Haya mukubwa umesomeka.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unakubali majibu mawili ie Referees na Similar works? Au "unachanganya na za kwako?"
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ndio manake Super MOD
   
 10. M

  Man United Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok,but any literate person can list, the question is where such information can be verified to enable those who will enterview you to conclude if is true or not!
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,415
  Likes Received: 595
  Trophy Points: 280
  Soma alichoandika mtoa mada....anatauliza "list of reference" ina maanisha nini na siyo "list of referees"
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Current status =='it's complicated' maana sijui nishike lipi hapa, au ntafute average? the clock is ticking.
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo "List of References" = ?
   
 14. M

  Man United Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri uende kwenye internet ufungue "list of references "maana yake ni nini,haina maana kubishana kwa jambo dogo kama hili.Ninauhakika na ninachosema.Ukishaenda kuangalia utakubaliana na mimi.
   
 15. M

  Man United Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vilevile si lazima uandikiwe referees kwani mwajiri anaweza akasema references,ni kitu kile kile,ni lugha tu ndugu yangu.
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,595
  Trophy Points: 280
  Jibu la Ndachua linaleta sense kutokana na content ya muuliza swali. Just imagine, unaomba tender ya kuchimba visima, then unaniwekea lists ya supervisor wako wakati una-work as a Loan Officer somwhere; does it bring any sense?! Can ur supervisor be able describe you kwenye suala la uchimbaji visima?! I guess, BIG NO! Lakini ukitoa list ya project ya visima ambayo umeifanya; then it can fit for purpose coz' mtoa tenda anaweza kutafuta ukweli wa ulichokisema kwenye CV yako. Simple and clear; kama ni job application, employer ata-opt kum-contact ur supervisor ili ajue uwezo wako; lakini kwa issue ya tenders, obvious ata-opt kum-contact uliyemfanyia kazi ili afahamu uwezo wako wa ku-run project. Anyway; kama ni sumu, naimeza, naimeza hiyo ya Ndachua kwani hata kama hayupo sahii lakini inaleta sense! What i can see here ni kwamba, List of Reference, is not static, but dynamic...depending to which subject u're talking abt! Kama ni job application, mention ur supervisors/lecturers na kama ni issue iliyoulizwa hapa itakuwa ni kichekesho kumtaja supervisor wako!
   
 17. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  salute you utakuwa umesoma chuo maarufu hapa tz your very talented nimependa argument yako
  Kwa msaada wa muuliza swali, nimefanya kazi ka job and tender recruiter kuna tofauti kati ya hayo maneno mawili, ikiwa kwenye tender mara nyingi hutumia list of reference. kumbuka as prudent CV yako tayari ina list of referers so reference ni kitu kngne karibu tena JF.
  is my honor to submit
   
 18. M

  Man United Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo kama hivyo visima ulichimba mwanza na mwajiri yuko dar,ataenda huko apate uhakika wa visima ulivyochimba?nafikiri huo muda haupo na kama hatapata uhakika kwa haraka ataona anapoteza muda wake hivyo atakuacha na kumchukua mwangine na utakosa hiyo tender.>narudia tena ,kuandika kazi au tenda ulizokwisha kufanya kila mtu anaweza endapo tu amesoma,swali ni kwamba huyo unayemwandikia ataamini vipi? "evidence from extenal source is more reliable than yours"
   
 19. A

  Agrodealer Senior Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo mana mtihani wengine wanafeli na wengine wanafaulu. jibu unalofikiri pale tu unapomaliza kusoma swali lako usilidharau hata kidogo zaid ya kulitafutia nyama.
   
 20. M

  Man United Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba mawazo yako
   
Loading...