Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti Uber & Bolt

stevhinoz

JF-Expert Member
Jun 15, 2021
216
480
Habari zenu,

Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti ya uber na bolt. Nimejaribu kufanya mchakato wa kujiunga ila gari yangu imekosa baadhi ya vigezo haswa umri wa gari na ukubwa wa engine ila naona wenye gari kama yangu wengi wanazitumia kwenye hizi biashara so naamini inawezekana..

Kama kuna ataeweza kunisaidia nitampa posho mchakato wote ukiisha.
 
Happy njia rahisi Ni kuchonga kadi nyingine itakayoandika hiyo gari Ni ya mwaka 2005 au 2006, gari chini ya mwaka 2005 inakataliwa hivyo chonga kadi nyingine.
nmekupata kiongozi, lakn worry yangu itabidi nicheze pia na cc je hawatonisumbua nikizishusha ikiwa hakuna spacio yenye cc chini ya 1400? japo naziona mtaani zinapiga uber/bolt.
 
Wengi wanabadilishaga mwaka was gari kutengenezwa kuhusu cc wanaweza pia ukiwaambia ingawa sijui Kama Kuna spacious ya chini ya cc 2000 labda mi nimepitwa Kama yapo na wewe ubadili kwenye kadi I'll Kama hamna spacious ya chini ya cc elfu mbili achana nao maana Nina hofu hata ukifanikiwa kubadili cc buku 2 itakuwa inakunywa Sana wese. Mi Nina gari ya cc 1500 raum Ila kijasho Cha mafuta since mchezo, je hiyo ya cc 2000 je au ina viti Kati na nyuma ya kupakia abiria 6 iwe XXL, maana naonaga Hadi uber za Noah.
 
ina cc 1490...nikipeleka kadi yenye cc ndogo za 1300 hawawezi kunizingua?
 
Habari zenu,

Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti ya uber na bolt. Nimejaribu kufanya mchakato wa kujiunga ila gari yangu imekosa baadhi ya vigezo haswa umri wa gari na ukubwa wa engine ila naona wenye gari kama yangu wengi wanazitumia kwenye hizi biashara so naamini inawezekana..

Kama kuna ataeweza kunisaidia nitampa posho mchakato wote ukiisha.
hakuna spacio yenye engine chini ya 1490cc,na hakuna uber au bolt inayoruhusiwa kufanya kazi na spacio.

hao unaowaona wanatumia hivyo jua account inasoma ist lakini yeye anaendesha spacio
 
ukihitaji kufanya manuva ili gari yako ifanye bolt au uber nicheki dm lakini nakupa tahadhari kuwa endapo utaingiza spacio uber au bolt yenye 1490cc hutafaidika zaidi utachakaza gari na kula loss
 
Nakucheki mkuu.
 
Unaweka vibali vingine unatumia gari lingine ishu ni kama huna vibali vingine vya gari linalo ruhusiwa huko...
 
Uber unaweza fungulia hata akaunti 10 kwa gari moja kwa akaunti tofauti ila bolt vibali vyote ni kwa akaunti moja tu huwezi tumia mara 2 au zaidi
Vibali vinavyohitaji lazima kadi iwe ya biashara latra na bima tu kwenye gari
Vya kwako leseni kuanzia classC1 hati ya tabia njema
 
Wengi wanabadilishaga mwaka was gari kutengenezwa kuhusu cc wanaweza pia ukiwaambia ingawa sijui Kama Kuna spacious ya chini ya cc 2000 labda mi nimepitwa Kama yapo na wewe ubadili kwenye kadi I'll Kama hamna spacious ya chini ya cc elfu mbili achana nao maana Nina hofu hata ukifanikiwa kubadili cc buku 2 itakuwa inakunywa Sana wese. Mi Nina gari ya cc 1500 raum Ila kijasho Cha mafuta since mchezo, je hiyo ya cc 2000 je au ina viti Kati na nyuma ya kupakia abiria 6 iwe XXL, maana naonaga Hadi uber za Noah.

Natafuta gari kaka iwe ni bolt au kuleta hesabu kila siku napatikana kigamboni na nina uzoefu na kazi hii kwa miaka miwili naomba msaada panapo uwezekano
 
ukihitaji kufanya manuva ili gari yako ifanye bolt au uber nicheki dm lakini nakupa tahadhari kuwa endapo utaingiza spacio uber au bolt yenye 1490cc hutafaidika zaidi utachakaza gari na kula loss

Kaka na je vipi kwa madereva ambao tunatamani kuendesha uber au bolt lakini leseni zetu ni A B D E ikiwa wanahitaji C au C1 kuna namna yeyote yakufanya?
 
Uber unaweza fungulia hata akaunti 10 kwa gari moja kwa akaunti tofauti ila bolt vibali vyote ni kwa akaunti moja tu huwezi tumia mara 2 au zaidi
Vibali vinavyohitaji lazima kadi iwe ya biashara latra na bima tu kwenye gari
Vya kwako leseni kuanzia classC1 hati ya tabia njema

Kaka naomba kuuliza vipi kama dereva ninatamani kuendesha uber au bolt lakini leseni yangu ni A B D E kuna namna yeyote naweza kufanya?
 
Hakuna namna zaidi ya kupata claas c1 ili ujiunge na uber bolt

Sawa naomba kuuliza tena ikiwa leseni yangu nilirenew mwaka 2020 na haijatimiza muda wa kuexpire je naweza kubadili madaraja nikapata leseni mpya yenye hio C kabla ya muda kuisha? Kama jibu ni ndio ni nini napaswa kufanya kaka?
 
Inawezekana, nenda driving school yoyote watakusaidia.
 
Back
Top Bottom