Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanahitajika mawakala wa super gro Mikoa yote Tanzania VIGEZO 1. Muaminifu 2. Mchapakazi 3. Mtaji kuanzia 550000/= Wasiliana na mkurugenzi wa masoko Piga au WhatsApp 0767379911
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua maswali yanayoulizwa kwenye verbal onlinetest za kampuni ya Scania position ya Tax accountant
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Deadline; 16th October, 2022.
1 Reactions
1 Replies
726 Views
Clinical Operations Officer (Quality) Job Summary Africa Healthcare Network (AHN) is building the first dialysis chain across East Africa, providing high-quality, life-saving dialysis at an...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Title hiyo apo juu maan kuna mtu kaniambia kapata kazi duce so naombeni comments zenu kwa aliyetafutwa..maan kuna ndugu yng yupo roho juujuu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
1 Reactions
5 Replies
963 Views
Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Kaimu Katibu ma Secretariat ya Ajira. Siku za hivi karibuni kumekuwa na manung’uniko ya watu wanaofanya usaili wa mchujo jinsi secretarit inavyosimamia usaili huo. Kwanza, kumekuwa na mlolongo...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Mfanyakazi Wa salon ya kike anahitajika awe anaweza kusuka mitindo yote, kuset na kumake up Jinsia yoyote. Umri kuanzia miaka 18[emoji3595] Mahali salon ilipo ni Buza kwa mpalange. Kwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
mwalimu anahitajika mwenye sifa kuu zifuatazo *elimu ya cheti au diploma *awe na uwezo wa kuwafundisha matukio watoto ya kwenye mahafari( garaduation) *awe na uwezo wa kufundisha masom ya baby...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Habarini Jamaa yangu alienda kufanya interview chuo cha mbeya (MUST)kwa nafasi ya tutorial assist wa electrical Usaili huu ulikuwa umegubikwa na mambo mengi ya kufikirisha Jambo la kwanza...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Aisee bora hizi paper wawe wanatunga tu utumishi wenyewe. Kiukweli paper wametunga bunge wenyewe na maofisa wa utumishi wao leo walikua ni wasimamizi wa mchakato tu ila kuanzia materials zilikua...
12 Reactions
76 Replies
9K Views
Hello Guys! Kwa mahitaji ya fundi umeme wa majumbani, pamoja na cctv camera kwa ulinzi zaidi pia electric fence yani fensi za umeme Contact: 0653555549/ 0626750480
0 Reactions
0 Replies
446 Views
HABARI KAMA SIMU YAKO INA SHIDA YA SOFTWARE, Mfano kwenye ; APPLICATION MESSAGE STORAGE (Simu imejaa) CALLS NOTIFICATION USIZOZIELEWA NA ZINATOKEA KILA MARA KUTUNZA FILE ZOTE GOOGLE ILI...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
847 Views
Hellow habari zenu....natumaini ni wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kimaisha Mimi ni mhitimu wa 2020 ngazi ya shahada (degree)..nimesoma bachelor ya ualimu katika masomo ya geography na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works, Transport and Communications established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Back
Top Bottom