Reports To: Incharge of Weighbridge Unit
Duty Station: Mwanza, Tanzania
Terms of Service: Contract Terms of Three (3) years, renewable subject to satisfactory performance, efficiency and...
Habari za Mwezi February wana-JF.!!
Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi).
Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna...
Habari
Nimeona nianzishe uzi huu tufahamishane kwa wale wapambanaji na wale ambao bado tunasubiri kufikiwa na ajira hususan kwa wale wanaoishi Jijini Dar es salaam, Je untumia mbinu gani kumudu...
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa...
Aisee hii kitu imekaaje? Tume ya utumishi wa umma ijitahidi kuajiri wafanyakazi wa kutosha..
Ona sasa wanatumia muda mrefu sana kuita watu.. na wakiita wanaita kwa mkupuo..vuuuuup mpaka mtu...
Habari za usiku wadau..
Hivi mnaionaje ratiba ya pdf ya leo iliyotoka maana nimeiona inaumiza sana kwa baadhi ya kada na inakost sana.
Kwa mfano kuna kada interview inafanyika tarehe 28...
Jamani National auditing office of Tanzania(NAOT) wanaotakiwa kufanya usaili majina yametoka, haya hapa chini.
https://www.ajira.go.tz/baseattachments/interviewattachments/200607090713TANGAZO LA...
Habari ndugu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa mdogo wenu nilikuwa na maswali machache kama kuna mtu anajua jinsi intern za kampuni ya Knauf Gypsum Tanzania Ltd.
Kuanzia malipo na taasisi kwa...
The salaries for product, engineering, and other technical roles included:
Algorithm Engineer: $204,000
Android Software Engineer, Central Product Platform: $295,000
Android Software Engineer...
Serikali imekuwa na matamko mengi Sana Kuhusu kufanyika kwa usaili wa watafuta Kazi kwenye Mikoa yao au Kanda..
Ifike mahala haya matamko yakome na viyendo vionekane Ili kuwapunguzia gharama...
Wakuu kwema humu ndani... nina kazi chache hapa chini kama sample tu nilizofanya. Kama kuna mtu ambaye anavutiwa na masuala yanayohusu tasinia ya burudani katika sector yeyote ile, basi nahisi...
Habari za muda huu wanajamvi? Nimebahatika kuitwa kwenye usahili wa nafasi tajwa hapo juu, lakn changamoto n kuwa hii n mara yangu ya kwanza kwenda kufanya interview za utumishi, naomba mwenye...
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wakike, nina umri 23, elimu yangu ni kidato cha nne, nina diploma ya Secretary, natafuta kati ya kazi hizi zifuatazo.
[emoji117]Secretary
[emoji117]Duka...
Napata taarifa kuna vikazi huko kwenye kata na manispaa kwa ajili ya kusajili makazi .ila hizi zinatoka kimya kimya mno walio kwenye magrupu yale ya sensa na postcode wanalijua hili.Na wameshaanza...
Habari za jukwaa la ajira na tenda.
Nimepata tetesi za uhakika kutoka mamlaka ya TPDC kuwa kuna mradi wa utafutaji wa mafuta na gesi mkoa wa Rukwa utaanza mwezi wa sita.
Vijana changamkieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.