National Auditing Office of Tanzania (NAOT) kuita watu kwenye usaili

Pjmazengo

Member
Dec 20, 2019
25
16
Jamani National auditing office of Tanzania(NAOT) wanaotakiwa kufanya usaili majina yametoka, haya hapa chini.
https://www.ajira.go.tz/baseattachments/interviewattachments/200607090713TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAOT.pdf

Naomba kujua jamani mwenye taarifa kamili kuhusu NAOT, Najua hawa NAOT wanalipa na tgs E ambayo around 900,000 net, vipi ndugu zangu hizi Auditing kuna safari za aina yoyote, na mimi niko kwenye majina ya usaili jamani naomba kujua wazalendo wenzangu, na je kama safari zipo zinalipwa au ndo kunakusafri kizalendo tu, Msaada katika hilo mi ni mtu wa database Audit.

Kiukwel naomba tu niwe wazi wakuu, nafanya kazi na private company nilikuwa nawaza kutoka ikiwezekana niingie selikalini ndio maana kabla ya kuchukua maamuzi nilitamani nipate taarifa kamili kwa wadau wenye uelewa zaidi na NAOT na hizo auditing na mshahara wangu ni 900000 vile vile, nimefanya hiv ili nisiende nikiwa kama nabet maisha.
 
Unataka kwenda safari za wapi mkuu, wewe kapige kitimoto kisha omba Mungu upate hiyo nafasi, hayo mambo ya safari ni BONUS kama itatokea. Vinginevyo mshahara wako ndio wa kuwekea sawa mipango yako ya muda mfupi, kati na muda mrefu
 
sasa ndo kwanza umeitwa usaili unaanza kuulizia mambo ya mshahara na safari. kuwa na subira, kama mwenyezi Mungu akikujalia ukapata nafasi usiingie kazini ukiwa na mentality ya namna hio. mentality ya pupa. kuwa mtulivu na utafahamu kila jambo kwa wakati na fursa zitakuja with time.
 
Inawezekana kwa sasa anafanya kazi sehem nyingine anataka abadilishe kazi kwa compare Kama maslahi ya NAO yanalipa kuliko anapofanyia kazi kwa sasa
 
Sawa boss lakin kiukwel nafanya kazi na private company nilikuwa nawaza kutoka ikiwezekana niingie selikalini ndio maana kabla ya kuchukua maamuzi nilitamani nipate taarifa kamili kwa wadau wenye uelewa zaidi na NAOT na hizo auditing na mshahara wangu ni 900000 vile vile
 
Inawezekana kwa sasa anafanya kazi sehem nyingine anataka abadilishe kazi kwa compare Kama maslahi ya NAO yanalipa kuliko anapofanyia kazi kwa sasa
[/QUOT
Kiukwel naomba tu niwe wazi mkuu, nafanya kazi na private company nilikuwa nawaza kutoka ikiwezekana niingie selikalini ndio maana kabla ya kuchukua maamuzi nilitamani nipate taarifa kamili kwa wadau wenye uelewa zaidi na NAOT na hizo auditing na mshahara wangu ni 900000 vile vile, nimefanya hiv ili nisiende nikiwa kama nabet maisha.
 
yaan hata interview hujafanya umeanza kuulizia, au ndio wale wakufata utaratibu tuu kumbe jina lishawekwa taar.
 
yaan hata interview hujafanya umeanza kuulizia, au ndio wale wakufata utaratibu tuu kumbe jina lishawekwa taar.
Kiukwel naomba tu niwe wazi mkuu, nafanya kazi na private company nilikuwa nawaza kutoka ikiwezekana niingie selikalini ndio maana kabla ya kuchukua maamuzi nilitamani nipate taarifa kamili kwa wadau wenye uelewa zaidi na NAOT na hizo auditing na mshahara wangu ni 900000 vile vile,

nimefanya hiv ili nisiende nikiwa kama nabet maisha, najua kuna wazalendo ambao wanaelewa vzuri hiv vitu ndo maana nikauliza kwenye hii forum, ningekuwa wale wakufuata utaratibu hata nisinge jisumbua ningemuuliza huyo huyo anayenipa huo utaratibu maana hakika angekuwa mtu mkubwa anayejua vitu vingi au yeye ndo angenyanyua simu kuwauliza watu wake. Ndo hivyo mkuu mi ni mchimba chumvi wa maisha yale yale ya kawaaaaida!
 
Kila la heri ktk interview
Ukipata usisite kwenda.,
Kuna ndugu yangu yuko huko naona hali yake ni nzuri kiasi chake
 
Back
Top Bottom