Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wakike, nina umri 23, elimu yangu ni kidato cha nne, nina diploma ya Secretary, natafuta kati ya kazi hizi zifuatazo.
[emoji117]Secretary
[emoji117]Duka lolote
[emoji117]Reception
[emoji117]Costumer care
[emoji117] wakala wa miamala mbalimbali
Ninauzoefu wa kufanya kazi mbalimbali sehemu tofauti kwa kujitolea, hivyo basi nahitaji kupata ajira kwasasa, nipo vizuri.
Nipo Dar es salaam mbezi (kimara).
Naomba ni PM kwa maelezo zaidi.
Asanteni.