Nahitaji kujua majukumu ya Afisa biashara

Cunch

Senior Member
Apr 19, 2014
162
142
Habari wadau,nahitaji kufahamu kazi na majukumu ya afisa biashara selikalini.Mwenye uelewa anijulishe kwani nipo njia panda sielewi..
Natanguliza shukrani..
 
Soma job description ya tangazo uliloliona hayo ndiyo majukumu yako.

La kwanza na la muhimu ni kutii na kupokea maagizo kama mwajiri wako atakavyotaka.
 
Soma job description ya tangazo uliloliona hayo ndiyo majukumu yako.

La kwanza na la muhimu ni kutii na kupokea maagizo kama mwajiri wako atakavyotaka.
Nashukuru kwa mawazo mazuri nitayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom