Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Mwenye kujua/kufahamu popote iwe hapa Dar es salaam mahali ambapo kuna kazi za Hotel kwa nafasi za Front office,Marketing,Hotel Supervisor,Hotel Manager na House keeping supervisor,nina watu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
zimamoto waliokuwa wafanyiwe usahili tar20 april 2016 ghafla bin vuu mara wakasitisha hiki ndio chanzo kutoka kwa taarifa zilizofuja kikosini makao makuu iko hv majina walioomba nafasi za...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wale mliokuwa mkisubiri kwa hamu, Zimamoto tayari leo hii. Majina yako ktk gazeti la Uhuru la leo May 5,2014. Litafuteni. Thanks sana kwa kunivumilia niwa_update. Jana niliwaambia this time...
1 Reactions
113 Replies
14K Views
Fununu nilizozipata kwa wale walioitwa kwenye ajira nafasi ya assistant inspector wa zimamoto, kuwa baadhi hawataweza kuudhuria depo kutokana kuwa wajawazito. Kwa matokeo aya wanaweza kuita...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu watu wanauliza hasa mheshimiwa kishindo atoa japo taarifa watu wa konstebo na sajini wataitwa lini kazini? Maana hapasomeki huku mjini.watu wanapanga mipango ya kwenda bush kupiga dili za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu ndugu zetu wa zimamoto mbona hamtoi usail wa konstebo tujue hatma za upande mwingine. Tujuzane waungana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau ni habari ndani ya gazeti la habari Leo....zimamoto wametoa majina mengine tena,,,, sijafuatili sana.but that how it is.... usaili utafanyikia bwalo la ukonga na sio kurasini kama...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Taarifa Zilizonipata ni kwamba Zima Moto kesho. Be patient na usikose kuja JF kusoma jina lako wewe uliye-apply. Updates: Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check...
1 Reactions
180 Replies
33K Views
Vp wakuu majina ya kfanya usaili zimamoto yanatoka liniiiii!!!!!!!?????
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua zilipo ofisi za mfuko wa pembejeo....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
zile nafasi za TIB BANK zilizotangazwa julai 2014 zimepotelea wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Waungwana kuna post zilitangazwa na TPB mwezi wa saba km za credit clerck na bank operation officer. nimedokezwa wameanza kuita watu wiki hii, kwa yeyote atakayesikia au aliyesikia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ,nilikuwa naulizia zile nafasi za kazi za JS(John Snow) vip,watu waeshaitwa kwenye interview,mimi niliaply nafasi ya Logistic officer!! naomba wenye taarifa wakuu!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau eti zile nafasi za security officer Tanesco Power Plant Ubungo zilizotangazwa December wametoa kwenye gazeti gani? mwenye shortlisted naomba aweke majina ya walioitwa kuna baadhi ya watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau hivi zile Kazi kama 40 za IT NMB zilizotangazwa mwaka jana vipi walishakuwa watu au? Tulipiga interview ila kimyaaa mpaka Leo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
IHI walitoa nafasi za ajira 40 kwa Field workers na 30 kwa Interviewers mwezi wa TANO. Vipi wanajamii nafasi hizo zimeshajazwa? mimi na mdogo wangu tuliomba hadi leo tunasubiri kuitwa kwenye...
0 Reactions
23 Replies
27K Views
Wadau huko Mtwara kwenye gesi kuna makampuni kibao yameenda kuchimba gesi na mafuta ila ukiacha zile za TPDC mbona sijawahi kuona nafasi za kazi za hayo makampuni huko Mtwara
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Waziri Ummy Mwalimu alihaidi kuwa kufikia mwezi December watakasema ameajiri walimu elfu 10. Hiyo ilikuwa mwezi wa 8, mwezi wa9 majaliwa akasema kibari Cha ajira kimetoka,lakini mpaka Leo mwaka...
3 Reactions
13 Replies
791 Views
Sio kwa kuachana njia panda huku ajira hizi zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe waziri akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom