Zimamoto nao kweli Wamezima Taarifa zao za Konstebo

Zimamoto nao kweli Wamezima Taarifa zao za Konstebo

Stevery2

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
396
Reaction score
47
Ndugu zangu ndugu zetu wa zimamoto mbona hamtoi usail wa konstebo tujue hatma za upande mwingine.

Tujuzane waungana.
 
Ndugu zangu ndugu zetu wa zimamoto mbona hamtoi usail wa konstebo tujue hatma za upande mwingine,
Tujuzane waungana.
jamani muwe na uvumilivu, mchakato umeanza juzi tuu!
 
Majina yametoka leo ktk gazeti la daily news na uhuru.daily news ndo lina majina yote but uhuru lina baadhi tu ya majina. Kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom